kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ndio watakao watangulia kuingia mbinguni.Watoza ushuru hata kwenye bible wameandikwa wamejaa laana.
Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha
Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116]
Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu
[emoji116]
VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli
Baadae ikafuata hii mpaka Tiss diwani Athumani yupo [emoji849][emoji849]
[emoji116][emoji116]
Takukuru yawaanika waliomuomba rushwa mfanyabiashara wa K’koo
Ndio ikafuata hii
VIDEO: Mfanyabiashara aliyegoma kuwapa rushwa TRA afunguka
Kwa ufupi ww ni mbumbumbu,unajua tofauti ya milioni,bilioni na trilioni?halafu wewe Kama huna hela Usifikiri Watu wote ni maskini Kama wewe,mali us milioni 900 kwa kkoo ni mtaji wa kawaida sana,nenda uone wauzaji wa vitenge kontena moja milion 400.Mzigo wa mabegi wa tilion moja anazo dai ntunzwe ! Kariakoo yte atajaza yeye!
Mi naamini amepiga faida bila kupiga risk business kwa hyo miaka!
Yeye achukue hata hyo 200ml. Kama vipi aende mahakamani akafungue kesi ya madai! Athibitishe hizo 900ml.
Bw ntunzwe hicho ndo kinachokuponza utakuwa umerubuniwa.
,Makonda mbona ni mlarushwa mkubwa kabisa? Asiwafanyie usanii huyu. Huwa nashangaa Magufuli anashindwaje kumshtukiaMakonda alikua anapigiwa simu na kuandikiwa meseji hakupokea ingekua ni masuala ya matukio ya makamera haraka angepokea ubusy gani simu kapigiwa karibu mara 20
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usipoteze muda kubishana na huyo mbumbumbu. Unaona eti anatamka ''tilioni''. Bwege huyo.Kwa ufupi ww ni mbumbumbu,unajua tofauti ya milioni,bilioni na trilioni?halafu wewe Kama huna hela Usifikiri Watu wote ni maskini Kama wewe,mali us milioni 900 kwa kkoo ni mtaji wa kawaida sana,nenda uone wauzaji wa vitenge kontena moja milion 400.
Duka la Huyu mzee ni duka kubwa kkoo yote Hakuna mfano,yani ni jengo zima.
Sasa Unafikiri Kama anamiliki nyumba kkoo Congo na uhuru huyo ni hoe hae?
Mukhi, inaitwa trilioni na siyo tilioni! Naona unarudia rudia kila sehemu kuandika ''tilioni''Tatizo ntinzwe anadai hela nyingi sana! 900ml. ? Yani nisawa na tilions.
Sio trion ni bilionTatizo ntinzwe anadai hela nyingi sana! 900ml. ? Yani nisawa na tilions.
Milion 900 unaenda trillion 1 na siyo billion 1?Tatizo ntinzwe anadai hela nyingi sana! 900ml. ? Yani nisawa na tilions.
usiache kudai tutumie fursa hii .ataa mimi nadai Tra huku mkoani Arusha nazungushwa hivi hivi miaka zaidi ya minne.kwa Tra Magufuli ameingia na muda wake unaisha TRA ni Ile ile ,na madai yote ni kwa kamishna yanakwama .pamoja na kutolewa na kuletwa mwingine .mambo ni Yale Yale .inamaana kila anae ingia mara moja anaingizwa genge la uhalifu .Rais Magufuli tangaza namba ya simu tukujulishe uoza wa TraHii
Hii case ya bwana Ramadhani hamisi Imeniuma maana na mim ni mojawapo wa mhanga ukiwa unatenda haki na kufika wakati kudai system ya mfumo utasumbuka saaana
Nampa Pole Ramadhani mimi nilidai mpaka nikamwachia Mungu
Tatizo ntinzwe anadai hela nyingi sana! 900ml. ? Yani nisawa na tilions.
Mzigo wa mabegi wa tilion moja anazo dai ntunzwe ! Kariakoo yte atajaza yeye!
Mi naamini amepiga faida bila kupiga risk business kwa hyo miaka!
Yeye achukue hata hyo 200ml. Kama vipi aende mahakamani akafungue kesi ya madai! Athibitishe hizo 900ml.
Bw ntunzwe hicho ndo kinachokuponza utakuwa umerubuniwa.