Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua sana kujieleza lakin nimeamiani,watendaj wengi sana wanaishi kwa uonevu,haki haipo.
Kwanini serikali imenyamaza kutatua tatizo lake?
Wakat ushahid wote upo?
Ningekuwa rais hakika hawa wote waliomfanyia hivi huyu jamaa wote jera kwanza...
Umemsikiliza huyo anaedai? Yeye kasema hata wakimlipa kwa awamu ni sawa tu muhimu alipwe haki yake.Acheni kujibu kwa mihemko wadau mlio wengi sasa management ushafikuzwa then what? Hao wataokuja hwatakua na mapungufu? Yaaan ufukuze management nzima ya juu ya mamlaka kwa sababu ya mtu mmoja? Ahahaha maajabu kupata kutokea ulimwenguni. Hapo issue ni kufatilia kwa nini hadi sasa maelekezo hayajatekelezwa basi. Alipwe mtu mmoja afu tufe njaa watu kumi wapi na wapi, na by the way hela ya mlipa kodi itoke kwa utaratibu sio tu mamlaka ina mahela ya kuchota chota.
Ha ha ha!!Ndugu kumbe wewe lofa sana. Nimepoteza muda kukujibu. Nisamehe sana. Sikujua.
Acheni kujibu kwa mihemko wadau mlio wengi sasa management ushafikuzwa then what? Hao wataokuja hwatakua na mapungufu? Yaaan ufukuze management nzima ya juu ya mamlaka kwa sababu ya mtu mmoja? Ahahaha maajabu kupata kutokea ulimwenguni. Hapo issue ni kufatilia kwa nini hadi sasa maelekezo hayajatekelezwa basi. Alipwe mtu mmoja afu tufe njaa watu kumi wapi na wapi, na by the way hela ya mlipa kodi itoke kwa utaratibu sio tu mamlaka ina mahela ya kuchota chota.
Fungua hizo clip umsikie mwenyewe brother k anavyosema,yy anachotaka alipwe hata kama kidogo kidogo,pia kwenye fidia aliyosema rais yy kaiachia mamlaka iamue itampa fidia kiasi gani kwa miaka yote mzigo uliosizishwa na maafisa wa traAcheni kujibu kwa mihemko wadau mlio wengi sasa management ushafikuzwa then what? Hao wataokuja hwatakua na mapungufu? Yaaan ufukuze management nzima ya juu ya mamlaka kwa sababu ya mtu mmoja? Ahahaha maajabu kupata kutokea ulimwenguni. Hapo issue ni kufatilia kwa nini hadi sasa maelekezo hayajatekelezwa basi. Alipwe mtu mmoja afu tufe njaa watu kumi wapi na wapi, na by the way hela ya mlipa kodi itoke kwa utaratibu sio tu mamlaka ina mahela ya kuchota chota.
Fungua hizo clip umsikie mwenyewe brother k anavyosema,yy anachotaka alipwe hata kama kidogo kidogo,pia kwenye fidia aliyosema rais yy kaiachia mamlaka iamue itampa fidia kiasi gani kwa miaka yote mzigo uliosizishwa na maafisa wa tra
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemsikiliza huyo anaedai? Yeye kasema hata wakimlipa kwa awamu ni sawa tu muhimu alipwe haki yake.
Tatizo Hilo sakata umeanza kulijua njiani, huyo jamaa sio Mtanzania wa aina yako...mwache jamaa apambane kupitia yeye wafanyabiasha wengi watapata nafuu.Mzigo wa mabegi wa tilion moja anazo dai ntunzwe ! Kariakoo yte atajaza yeye!
Mi naamini amepiga faida bila kupiga risk business kwa hyo miaka!
Yeye achukue hata hyo 200ml. Kama vipi aende mahakamani akafungue kesi ya madai! Athibitishe hizo 900ml.
Bw ntunzwe hicho ndo kinachokuponza utakuwa umerubuniwa.
Hawa Jamaa wanajuana na Wanalindana.... Ila mwamba Ramadhani kakomaa nao.hivi huyu KAMISHINA MKUU ndiye yule aliyejikomba kwa vyombo vya habari kukataa rushwa ya Milioni 10?
UKIWA MNAFIKI MUNGU ANAKUUMBUA
KAMISHNA MKUU na naibu wako mlaaniwe na kizazi chenu kwa dhuluma mnayoifanya
Umemsikiliza vizuri!?nakushauri msikilize hadi mwisho,na kama huelew fuatilia tangia mwanzo sakata la Mtanzania huyu mzalendo.Acheni kujibu kwa mihemko wadau mlio wengi sasa management ushafikuzwa then what? Hao wataokuja hwatakua na mapungufu? Yaaan ufukuze management nzima ya juu ya mamlaka kwa sababu ya mtu mmoja? Ahahaha maajabu kupata kutokea ulimwenguni. Hapo issue ni kufatilia kwa nini hadi sasa maelekezo hayajatekelezwa basi. Alipwe mtu mmoja afu tufe njaa watu kumi wapi na wapi, na by the way hela ya mlipa kodi itoke kwa utaratibu sio tu mamlaka ina mahela ya kuchota chota.
Acheni kujibu kwa mihemko wadau mlio wengi sasa management ushafikuzwa then what? Hao wataokuja hwatakua na mapungufu? Yaaan ufukuze management nzima ya juu ya mamlaka kwa sababu ya mtu mmoja? Ahahaha maajabu kupata kutokea ulimwenguni. Hapo issue ni kufatilia kwa nini hadi sasa maelekezo hayajatekelezwa basi. Alipwe mtu mmoja afu tufe njaa watu kumi wapi na wapi, na by the way hela ya mlipa kodi itoke kwa utaratibu sio tu mamlaka ina mahela ya kuchota chota.