Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Anajua sana kujieleza lakin nimeamiani,watendaj wengi sana wanaishi kwa uonevu,haki haipo.

Kwanini serikali imenyamaza kutatua tatizo lake?
Wakat ushahid wote upo?
Ningekuwa rais hakika hawa wote waliomfanyia hivi huyu jamaa wote jera kwanza...

Mbona mie sisikii sauti au kuna washafanya yao?
 
Acheni kujibu kwa mihemko wadau mlio wengi sasa management ushafikuzwa then what? Hao wataokuja hwatakua na mapungufu? Yaaan ufukuze management nzima ya juu ya mamlaka kwa sababu ya mtu mmoja? Ahahaha maajabu kupata kutokea ulimwenguni. Hapo issue ni kufatilia kwa nini hadi sasa maelekezo hayajatekelezwa basi. Alipwe mtu mmoja afu tufe njaa watu kumi wapi na wapi, na by the way hela ya mlipa kodi itoke kwa utaratibu sio tu mamlaka ina mahela ya kuchota chota.
 
Anaongea kwa uchungu sana baba wa watu...kama bado hajapewa mzigo wake hao wahusika Mungu anawaona
 
Acheni kujibu kwa mihemko wadau mlio wengi sasa management ushafikuzwa then what? Hao wataokuja hwatakua na mapungufu? Yaaan ufukuze management nzima ya juu ya mamlaka kwa sababu ya mtu mmoja? Ahahaha maajabu kupata kutokea ulimwenguni. Hapo issue ni kufatilia kwa nini hadi sasa maelekezo hayajatekelezwa basi. Alipwe mtu mmoja afu tufe njaa watu kumi wapi na wapi, na by the way hela ya mlipa kodi itoke kwa utaratibu sio tu mamlaka ina mahela ya kuchota chota.
Umemsikiliza huyo anaedai? Yeye kasema hata wakimlipa kwa awamu ni sawa tu muhimu alipwe haki yake.
 
Nadhani wewe hujasikiliza anachoongea huyu jamaa, ila umerukia kuchangia hoja.

Acheni kujibu kwa mihemko wadau mlio wengi sasa management ushafikuzwa then what? Hao wataokuja hwatakua na mapungufu? Yaaan ufukuze management nzima ya juu ya mamlaka kwa sababu ya mtu mmoja? Ahahaha maajabu kupata kutokea ulimwenguni. Hapo issue ni kufatilia kwa nini hadi sasa maelekezo hayajatekelezwa basi. Alipwe mtu mmoja afu tufe njaa watu kumi wapi na wapi, na by the way hela ya mlipa kodi itoke kwa utaratibu sio tu mamlaka ina mahela ya kuchota chota.
 
Kwahiyo issue ya huyo mzee inasikitisha san. Story ilivyo hasingekuwa mtoto wa mjini wangemuulia mbali kuficha ushahidi. Hivi kamishina wa TRA anaona ugumu gani kumlipa ana APPROVAL kutoka kwa Raisi, hata akija CAG majibi unayo. Sas anasita nini kulipa. Anaandika dokezo kwa Katibu mkuu Hazina akilejea Amri ya Rais anapata blessings za Hazina bas. Sas insurbodinatiom kwa rais itamuacha salama.cjui tusubili.time wil tel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kujibu kwa mihemko wadau mlio wengi sasa management ushafikuzwa then what? Hao wataokuja hwatakua na mapungufu? Yaaan ufukuze management nzima ya juu ya mamlaka kwa sababu ya mtu mmoja? Ahahaha maajabu kupata kutokea ulimwenguni. Hapo issue ni kufatilia kwa nini hadi sasa maelekezo hayajatekelezwa basi. Alipwe mtu mmoja afu tufe njaa watu kumi wapi na wapi, na by the way hela ya mlipa kodi itoke kwa utaratibu sio tu mamlaka ina mahela ya kuchota chota.
Fungua hizo clip umsikie mwenyewe brother k anavyosema,yy anachotaka alipwe hata kama kidogo kidogo,pia kwenye fidia aliyosema rais yy kaiachia mamlaka iamue itampa fidia kiasi gani kwa miaka yote mzigo uliosizishwa na maafisa wa tra

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzigo wa mabegi wa tilion moja anazo dai ntunzwe ! Kariakoo yte atajaza yeye!
Mi naamini amepiga faida bila kupiga risk business kwa hyo miaka!
Yeye achukue hata hyo 200ml. Kama vipi aende mahakamani akafungue kesi ya madai! Athibitishe hizo 900ml.

Bw ntunzwe hicho ndo kinachokuponza utakuwa umerubuniwa.
Tatizo Hilo sakata umeanza kulijua njiani, huyo jamaa sio Mtanzania wa aina yako...mwache jamaa apambane kupitia yeye wafanyabiasha wengi watapata nafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo utakapojua kuwa maamuzi mengi ya kwenye Media hayatekelezwi...... Hivi TRA wanapata wapi Ujasiri wakukiuka maagizo ya Raisi??

Kwanini Makonda hakutoa Ushirikiano kwq Bw. Ramadhani???

Je inawezekana Makonda ana uhusiano na hao Wafanyabiashara???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni katika mkasa wa kusikitisha kuudhi, kukera na kukatisha tamaa namna ambavyo vyombo vya dola hususani TRA ilivyohusika kudhulm na kuhodhi mali za mfanya biashara karikoo Ndg Ramadhani Hamisi Ntuzwe kama ambavyo ameweka wai mkasa huu. Tukio hili alilolifafanua akihohiwa n Mwandishi wa TV online ya Global. Ameeleza kuwa tukio lilianza baada ya kukamatw akwa mzigo wake alioingiza kutoka Afrika kusini akiwa kariripia kodi zote na ushuru kwa mujibu wa sheria na hata hivyoa akadaiwa Rushwa ya milioni 2 na moja ya watunishi wa TRA wa customs. Baada ya kugoma kulipa kodi hiyo walianza kumwandama ikiwemo kufungwa kwa duka lake wakishirikiana na Kampuni ya Udalali ya Yono. Sakata hilo aliingilia kati Waziri Mkuu Majariwa na Badaae akamua kulifikisha kwa Mh Rais wa JMT Dr Joseph John Magufuli.

Jamaa huyu anayeonekana kuwa ngangari na mkakamavu anaeleza kwa ujasiri na kumbukumbu iliyothabiti kabisa mkasa huo. Ktk jitihada za kumkatisha tamaa kudai haki yake alianza kufatiliwa na Tanesco ambazo qalimzimia umeme kwa muda wa miezi 4 bila kuwa na sababu yoyote na kufungiwa duka lake kwa miak mitatu. Pia anafafanua kuwa alinusurika na mpango ovu anaodai ulikuwa una malemgo ya kumuua ktk hotel maarufu yenye hadhi Mjini center Posta.

Makonda ametajwa kushirikia ktk kikao kilichohusisha Yeye Mfanya biashara, waziri mkuu Majariwa, RC Makonda na vyombo vya ulinzi na usalama kikao kilichofanyika Ikulu

Mods na wataalm wengine nisaidie ku upload clip hiyo inayopatikana Youtubu Globaltv online..
 
Acheni kujibu kwa mihemko wadau mlio wengi sasa management ushafikuzwa then what? Hao wataokuja hwatakua na mapungufu? Yaaan ufukuze management nzima ya juu ya mamlaka kwa sababu ya mtu mmoja? Ahahaha maajabu kupata kutokea ulimwenguni. Hapo issue ni kufatilia kwa nini hadi sasa maelekezo hayajatekelezwa basi. Alipwe mtu mmoja afu tufe njaa watu kumi wapi na wapi, na by the way hela ya mlipa kodi itoke kwa utaratibu sio tu mamlaka ina mahela ya kuchota chota.
Umemsikiliza vizuri!?nakushauri msikilize hadi mwisho,na kama huelew fuatilia tangia mwanzo sakata la Mtanzania huyu mzalendo.
Kama hujawah kupata matatizo ya kudhulumiwa haki yako,huwezi kuwa na uchungu au kama na wewe ni mfanyakazi au una ndugu kati ya hao jua kwamba nyie wote ni maadui wa haki mliojificha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uko tra nini !?

Back
Top Bottom