May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Haya Jamaa wa Dar.Wa wapi?
Hebu ngoja kwanza naangalia the promise ileeee ya Ynna na Angelo,nitarudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Jamaa wa Dar.Wa wapi?
Hebu ngoja kwanza naangalia the promise ileeee ya Ynna na Angelo,nitarudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndio kusema Bw Mkubwa hajamsikia bado?Hajalipwa. TRA wanamzungusha. ameomba tena kilio chake kifike kwa raisi.
TRA walimfirisi na wakamuibia, Dada yake alifariki kwa mshtuko baada ya tukio hilo, na mke wake huyu jamaa alipata kichaa baada ya tukio hilo, ukienda kumuona Muhimbili anachoongea ni ''TRA wametuibia, TRA wametufirisi'' kaehuka kichwa kime stack. Maana pesa walizo dhulumiwa ni karibu Mil 980.. karibu Billion 1. Watoto waliokuwa wakisoma shule walisimama kwa kukosa ada. Dhambi hii haita waacha salama. Hiyo yote kisa jamaa alikataa kuwapa TRA rushwa ya Mil 2Hizo tv ziliomrekodi zijiandae kisaikolojia ya kupigwa faini, maana zimekiuka maadili ya kusifia
Hakuna marefu yasiyo na ncha,Sasa Tanzania inatawaliwa kwa nguvu ya dola ni serikali ya kijeshi
Ardhi ni ya MUNGU, yeye ndie ameshatugawia uraia kwa kutupa lugha tofauti, inatoshaAtafutiwa uraia
Kwani waotutesa hawajui kama kuna MUNGU?Ardhi ni ya MUNGU, yeye ndie ameshatugawia uraia kwa kutupa lugha tofauti, inatosha
Ahahahahaaa maadili ya kusifia..Hizo tv ziliomrekodi zijiandae kisaikolojia ya kupigwa faini, maana zimekiuka maadili ya kusifia
😁😁😁😁Ilibidi pembeni awepo msemaji wa srikali ili kuweka mizania
Ilifika mpaka kwa makamu wa raisi na ikamfikia mpaka waziri mkuu meisho ikamfikia raisi, lakini nothingIlibidi pembeni awepo msemaji wa srikali ili kuweka mizania
Huwenda wanatawalia na roho ya pepo, siunajua ukiwa na roho ya ukatili hukufanya kila siku uzidi kuwa katili. Ukiwa na roho ya uuwaji ujue haitakuacha salama bali utaendelea kuuwa tu ndio roho inaridhika.Kwani waotutesa hawajui kama kuna MUNGU?
Tunakoelekea siyo kuzuri. Hizi ni dariri za kutokea kiama.Hizo tv ziliomrekodi zijiandae kisaikolojia ya kupigwa faini, maana zimekiuka maadili ya kusifia
Tanzagiza, walipo amua bunge kutokuwa live mataga wa lumumba wakacheka kwa furaha kisa wapinzani walikuwa wanapinga hiyo sheria.Hizo tv ziliomrekodi zijiandae kisaikolojia ya kupigwa faini, maana zimekiuka maadili ya kusifia
chali cha mendeHivi huyo jamaa hadi leo hii hajarudishiwa mali zake?