Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Ninachojiuliza ni kwamba:-Mkulu hajasikia bado kwamba agizo lake alijatekelezwa? au amesikia ila hicho kiasi cha pesa kinamfanya ashindwe kuingilia kati tena? ndio tuseme Viongozi wote wakuu baada ya kwa nyakati tofauti kutoa matamko ya Jamaa arudishiwe mali zake ndio wanajutia kauli zao baada ya kugundua maji ni marefu? Hivi kwa hulka ya Bw Mkubwa ni rahisi kweli kubariki kunyofolewa kwa sh bilioni moja kutoka hazina apewe raia? ref ishu ya tetemeko Kagera.
 
Hasara za mamilioni ya pesa alizopata mfanyabiashara Ramadhan wa Kariakoo kwa kukandamizwa na TRA na Polisi, kwa yeye kukataaa kutoa rushwa.

Hapa chini nimeweka link za Yuotube kusikiliza mateso haya aliyo yapitia huyu mfanya biashara wa Kariakoo.









hqdefault.jpg
 
Hizo tv ziliomrekodi zijiandae kisaikolojia ya kupigwa faini, maana zimekiuka maadili ya kusifia
TRA walimfirisi na wakamuibia, Dada yake alifariki kwa mshtuko baada ya tukio hilo, na mke wake huyu jamaa alipata kichaa baada ya tukio hilo, ukienda kumuona Muhimbili anachoongea ni ''TRA wametuibia, TRA wametufirisi'' kaehuka kichwa kime stack. Maana pesa walizo dhulumiwa ni karibu Mil 980.. karibu Billion 1. Watoto waliokuwa wakisoma shule walisimama kwa kukosa ada. Dhambi hii haita waacha salama. Hiyo yote kisa jamaa alikataa kuwapa TRA rushwa ya Mil 2
 
Kwani waotutesa hawajui kama kuna MUNGU?
Huwenda wanatawalia na roho ya pepo, siunajua ukiwa na roho ya ukatili hukufanya kila siku uzidi kuwa katili. Ukiwa na roho ya uuwaji ujue haitakuacha salama bali utaendelea kuuwa tu ndio roho inaridhika.
 
Hizo tv ziliomrekodi zijiandae kisaikolojia ya kupigwa faini, maana zimekiuka maadili ya kusifia
Tanzagiza, walipo amua bunge kutokuwa live mataga wa lumumba wakacheka kwa furaha kisa wapinzani walikuwa wanapinga hiyo sheria.

Baada ya miaka 4 wanapitisha sheria kama ile sasa ni kwa woote hata hao lumumba hawatakiwi kuisikiliza bbc wala DW wala VOA [emoji23][emoji23]

Lema aliwahi kusema kuwa wakitumaliza sisi wapinzani basi watahamia kwenu wana ccm na sasa yametimia
 
Back
Top Bottom