Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Matajiri wataishi kama vichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Jamaa ni genius Nan issue yake inasikitisha sana . Suala kama hawezi kumuona kamishna wa TRA ni Kwa nini ngazi zote anazotegemea kuwa msaada ashindwe kuwafikia karibu mkuu hola, Waziri mkuu vile vile na Raisi imekuwa ndoto .jamaa kama anafanyiwa umafia
Hii ni serikali ya kishetani na ccm ni chama cha kigaidi kabisaTRA walimfirisi na wakamuibia, Dada yake alifariki kwa mshtuko baada ya tukio hilo, na mke wake huyu jamaa alipata kichaa baada ya tukio hilo, ukienda kumuona Muhimbili anachoongea ni ''TRA wametuibia, TRA wametufirisi'' kaehuka kichwa kime stack. Watoto waliokuwa wakisoma shule walisimama kwa kukosa ada. Dhambi hii haita waacha salama
Ndo hawa mbwa ambao wana phd zenye mashaka na wakiulizwa wanakupoteza........hawajui hata sentensi moja ya kiingereza...Hivi ni lini tutaacha kuwa wapumbavu? utakuta na ww umesoma mpk chuo kikuu.
Tunaonekana wa ajabu sanaa yaan kitu kidogo kama hichi mtu anashindwa kung'amua kama si kweli unadhani atawezaje kuwa na mawazo ya maanaNdo hawa mbwa ambao wana phd zenye mashaka na wakiulizwa wanakupoteza........hawajui hata sentensi moja ya kiingereza...
ACT na CHADEMA wana tofauti gani na mabeberu?Siyo ACT na CHADEMA ni mabeberu
Safi Mabeberu nilisahau CCM mkishindwa hoja aliye kushinda kwa hoja anakuwa beberu 'Mbuzi dume'ACT na CHADEMA wana tofauti gani na mabeberu?
Na mbuzi dume dawa yake ni kisuSafi Mabeberu nilisahau CCM mkishindwa hoja aliye kushinda kwa hoja anakuwa beberu 'Mbuzi dume'
Matajiri wataishi kama vichaa