Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Huyu Jamaa ni genius Nan issue yake inasikitisha sana . Suala kama hawezi kumuona kamishna wa TRA ni Kwa nini ngazi zote anazotegemea kuwa msaada ashindwe kuwafikia karibu mkuu hola, Waziri mkuu vile vile na Raisi imekuwa ndoto .jamaa kama anafanyiwa umafia

Kuna kitu kinanifikilisha sana kuhusu hii ishu.

Najiuliza wale jamaa wa TRA wanaomzungusha huyu jamaa wana kinga gani wanayoitegemea?

Na je Rais na Waziri Mkuu wanashindwaje kuwawajibisha wale jamaa wa TRA.

Au wameona jamaa anadai mpunga mrefu sana halafu wanavunga makusudi maana kwa hesabu ya haraka haraka anadai kama Bilioni hivi.

Ila nimeangalia ile video iliniumiza sana nikafikiria mambo mengi sana ikiwemo ya Serikali kuajiri watu vilaza kwenye vitengo muhimu,imagine jamaa ni darasa la 7 anayaona mambo na kuyachanganua wakati wale jamaa wenye Bachelors,masters na Phd ambao ni makamishina na mameneja wanashindwa kuona.
 
TRA walimfirisi na wakamuibia, Dada yake alifariki kwa mshtuko baada ya tukio hilo, na mke wake huyu jamaa alipata kichaa baada ya tukio hilo, ukienda kumuona Muhimbili anachoongea ni ''TRA wametuibia, TRA wametufirisi'' kaehuka kichwa kime stack. Watoto waliokuwa wakisoma shule walisimama kwa kukosa ada. Dhambi hii haita waacha salama
Hii ni serikali ya kishetani na ccm ni chama cha kigaidi kabisa
 
Babu Ramadhani Ntunzwe ni mfano wa wafanyabiashara wanaoteseka kutokana na utwala huu uliojaa rushwa na uonevu
 
TRA bana [emoji23]sasa jamaa kakataa kuwapa rushwa ya million 2 tsh, ndio wakaamua wamtie hasara ya 986 million tsh?!
 
Ndo hawa mbwa ambao wana phd zenye mashaka na wakiulizwa wanakupoteza........hawajui hata sentensi moja ya kiingereza...
Tunaonekana wa ajabu sanaa yaan kitu kidogo kama hichi mtu anashindwa kung'amua kama si kweli unadhani atawezaje kuwa na mawazo ya maana
 
Huyu Mzee tatizo ni Elimu na busara ndogo hata sisi ni Wafanyabiashara lkn mambo ya Ligi na wenye Mamlaka hayakufikishi popote kwenye mfumo wako wa Biashara kama kweli una lengo la kufika mbali, ndugu wa karibu mpeni ushauri asije kusema hamkumpa ushirikiano.
 
Kwahiyo cdm na ACT ndio walimpora mali yake sio,nani amchafue mtu anaejichafua mwenyewe kupora wafanyabiashara...alishasema kua wataishi kama mashetani au wewe ulikua kenya
 
Back
Top Bottom