Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

Kusema kweli katika vitu naogopa kufanya ni kushiriki ngono Kwa usaidizi wa Viagra ama dawa za kuongeza nguvu za kiume

Kwani ukipiga kimoja cha sekunde 25 unakuwa hujainjoi 🤗
Kwakweli mimi huwa nawashangaa wanaohangaika kumridhisha mwanamke.
Utoe pesa, ulipie guest, chakula, vinywaji na bado akiwa anaondoka umlipe halafu umridhishe pia, kama umekula hela yangu basi wewe ndie unaepaswa kuhangaika niridhike.

Sijafika umri huo wa poor performance ila nikiufikia siwezi hatarisha afya yangu ili ke aridhike.
 
Ni wachache wenye huo mtazamo

Kuna Mzee wa miaka 56 nilikuta anaagiza vumbi la Kongo Kwa jamaa mmoja alikuwa dereva wa maroli ya kwenda Congo 🙌

Yaani watu hawana huruma na afya zao kabisa
 

Naona Watu wengi Sana hapa wanatoa maoni yao bila ya kulichimbika jambo hili kwa undani zaidi critically kwa kufanya simple intelligence Analysis juu ya matukio Kama haya. Matukio ya namna hii ni ya kawaida Sana kutokea nchini Urusi, hususani kwa Watu Wageni katika nchi hiyo.

But you have to remember that sometimes the Sexpionage operations are real!
 
He?!!
Kumbe wenye miaka 50+ wanaweza kuchukua wanawake wenye 25+?!.

Mimi nina 39, lakini nikitongozaga wanawake wenye 24+, jibu ninalopewa mpaka nanyong'onyea "we baba nikome, na uzee wote huo nitakupeleka wapi?!, nyoko we"
 
Ni wachache wenye huo mtazamo

Kuna Mzee wa miaka 56 nilikuta anaagiza vumbi la Kongo Kwa jamaa mmoja alikuwa dereva wa maroli ya kwenda Congo 🙌

Yaani watu hawana huruma na afya zao kabisa
Ni masikitiko mkuu, afya kwanza aisee..

Hawa wanaoleta story za kua wapo vizuri kitandani wengi ni waongo. Sasa akili ndogo hudhani kua basi wao ni goigoi kumbe wako sawa tu ni vile tu wao hapendi kudanganya, wanayachukua na kwenda kutafuta means ya kuwakomesha Ke ili kwenye story waje na story za kweli ilhali wenzao wanadanganya kufurahisha gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…