Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Si ndio hapo. Kwa umri huo anataka agundue nini? Mwamba unaweza kuta ni mwana JF kadanganywa na wadau humu.Kusema kweli katika vitu naogopa kufanya ni kushiriki ngono Kwa usaidizi wa Viagra ama dawa za kuongeza nguvu za kiume
Kwani ukipiga kimoja cha sekunde 25 unakuwa hujainjoi π€
Aibu mtu mkubwa anachepuka .
HahahahaWale mapenzi kwao km league ya EPL πΉπΉ
Hahahaha, hatariKakutana na viuno vya kingoni maskinii
Utataja na dada zetu KAUSHA basiUkivuka tu 35 zingatia haya:
1. Jua BP yako ikoje
2. Jua sukari yako ikoje
3. Jua cholesterol yako ikoje
4. Jua moyo wako ukoje
5. Jua Cardiovascular system yako ikoje
6. Jua peak ya mapigo yako ya moyo
7. Pata ushauri wa daktari kabla ya kumeza viagra au booster nyingine
Miaka 78 sasa. I have lost more than 6 close friends kwa ujinga huu wa kufakamia viagra bila kupima presha na cardiovascular systems. RIP Rafiki yangu mzee Guga wa Bariadi. RIP Mzee Sayi wa Misungwi kwa mshtuko wa moyo siku ile ukihangaika na Amina Iselamagazi Ng'wenekele....Aaaaargh! So painful!
Mambo ya kusimamia ukucha tuwaachie Vijana.Si ndio hapo. Kwa umri huo anataka agundue nini? Mwamba unaweza kuta ni mwana JF kadanganywa na wadau humu.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ila jamaniiLabda Kwa sababu ya umri wangu, lakini sijawahi kuzidi sekunde 25
Kuna mtu fulani aliwahi kuiweka mdomoni Mwaka 47
Lile joto, nikajikuta Kwa sekunde 20 nikawa nimemaliza π
Bora tumezeeka sasa π€
Sawa mkuuHuyo ndiye amekutafuta, ni kwa ajili ya kujifurahisha yeye si wewe. Hivyo ikiwa ni Sekunde moja, mnavaa na kuondoka ili mradi posho yako ipo pale pale