Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Huo mfumko wa bei unamhusu mfanyakazi TU na kukuacha wewe pembeni au sijakuelewa? Nyongeza ya mshahara Kwa mfanyakazi ni muhimu mno kuliko huo mfumko wa bei. Siuandiki umuhimu huo hapa Kwa kuyalinda maslahi mapana ya wafanyakazi.
Tusubili waanze kupokea mishaara mipya, baada ya kupokea muezi miwili ya mwanzo tutaanza kuwaona wanafiki wataanza kusema Bora mishaara hisinge pandishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuta mtu masikini wa Mungu analipwa laki tatu na sabini leo ameongezewa elfu 30 na kuwa laki nne anafurahi kama zwazwa vile!

Kiasi kile kile ndugu zwazwa anachokihangaikia kama malipo yake ya mwezi mzima kilaza mmoja ndani ya mjengo anakipokea kwa sitting allowance ya masaa yasiyozidi 6 😄!

Hakika mazwazwa hatutoisha!

Nb: Sijataja mtu ama Taasisi yeyote.
 
Acha dharau mkuu
 
Tusubili waanze kupokea mishaara mipya, baada ya kupokea muezi miwili ya mwanzo tutaanza kuwaona wanafiki wataanza kusema Bora mishaara hisinge pandishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huo ngano na mchele kilo itakuwa elfu 3 na Unga 2500, mafuta ya kupikia elfu 10 lita
 
Wewe endelea kuwa mfuasi na wanaofurahia ongezeko wafurahie. Win win. Kila mtu afurahie kile kinachomfurahisha.
 
mkuu
acha watu wakenue kwa muda mfupi
ila baada ya mwezi mmoja kupita watakuja tena kutaka kuongezewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…