Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

Ndugu, watu wote wakifungua macho hasa walimu na madokta, wakajua jinsi baadhi ya watumishi kwenye baadhi ya taasisi wanavyolipana mihela, niamini, nchi haitatawalika.
Mazwazwa sharti wawepo ili nchi itawalike.
 
Mkuu usidharau Nazi,,, Embe ni tunda la msimu tu
 
Huyu sio mtumishi,hivyo anaona wivu watumishi kuongezwa mishahara
 
Kidogo kidogo hujaza kibaba.
 
Huyu ni malalamiko fc

Ova
Huyu siyo kwamba analalamika, bali kilicho muumiza ni kuona Rais wa sasa ameweza kuongeza mshahara kitu ambacho "mungu" wake hakuweza kukifanya kwa miaka sita.

Anahisi kuwa Samia anapunguza "ligasi" ya "mungu" wake.

Aache ujinga kwanza kumbe hata hesabu hajui halafu anajifanya mjuaji wa mambo huku akidanganya uongo mkubwa kama "mungu" wake alivyokuwa muongo mara ooh tanzania ya viwanda! mara ooh miradi inatumia fedha zetu za ndani!

Ongezeko la 23.3% la kima cha chini cha sh 370000 ni sh 86,210 na siyo 30,000.
 
Wewe jitu Hovyo kabisa,..unanyota ya PepopundaπŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜
 
Reactions: Tui
Usikute anafunuliwa kwa chipsi za elfu 5 na soda moja (sijataja jina la mtu).

Lkn kinywa chake kmejaa maneno machafu utadhani jalala la stendi.
Anashindwa kuheshimu watumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…