Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Mimi ni mtumishi wa serikali, ninayo TIN zaidi ya miaka 8, sijaona faida yake labda ninapoagiza kitu toka nje ya nchi tu! Msiwe na mihemko sana!
 
Mimi ni mtumishi wa serikali, ninayo TIN zaidi ya miaka 8, sijaona faida yake labda ninapoagiza kitu toka nje ya nchi tu! Msiwe na mihemko sana!
Unaweza kuelezea kidogo mkuu Faida yake ipoje pale unapoagiza kitu toka nje ya nchi
 
Kwani ukiendelea mfumo wa sasa, serikali inaingia hasara gani? Je, watumishi wananufaikaje na mabadiriko haya?

Duh! Mambo ni mengi!

Huu ni mpango mkakati wa kuwabana waajiri na TRA ....walikuwa wanapiga mamilion ya hela halafu wanapeleka "change" hazina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…