Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE


Ukiuza gari, nyumba nk lazima ulipe 10% ya bei uliouza inaitwa capital gain, so hio kodi huwez kwepa why? Ukiuza gari au kununua ili ubadilishe umiliki lazma ulipe hio 10% bila kulipa hautofanikiwa
 
Yaani hako katitu kamoja tu ndio sifa za miaka 5? Acha utopolo mbona Pinda aliwahi mpiga stop Magu kuendesha boma bomoa na wakati wa mgomo wa madereva? hao wote ni dhaifu tuu.

Kuna watu wanatafutwa hapo 😂

Tin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu

Maandalizi ya kupambana na economic sanctions...endeleeni kuimba mapambio

Kwani sasa wanalipaje hiyo kodi?



Huu utaratibu ulianza toka mwanzoni mwa mwaka huu nadhani kama sio February/March huko

Na kodi hapa inayotafutwa ni ya wale walioajiriwa sekta binafsi

Wafanyakazi was maduka,madereva,walinzi no

Yaani Yale maswala ya kulipana mshahara kwenye bahasha laki 2 na nusu halafu sie waajiri tunaingiza mshahara kwenye matumizi tunapigiwa hesabu ya kodi tunalipa ndio mwisho

Inatakiwa na mshahara wa muajiriwa ukatwe PAYE kama wanavyofanyiwa watumishi wa umma halafu Kofi ipelekwe TRA ikiainisha na TIN ya muajiriwa wako

Patamu sana hapa
 
Ina maana ile mishahara ya kishenzi ndio inaelekea ukingoni? Lakini mbona wame base katika watumishi wa serikali!
 
Wazo kuu ya hili swala ni kubaini wanaokwepa kodi.Sasa itakuwa ni rahisi kubainiwa,kwa sababu record yako ya kulipa kodi ipo,inalinganishwa na mwenendo wa account zako,kama haziendani,wanajua unaibia serikali.Mfano,wewe ni mwajiriwa na ina vibiashara vyako kadhaa,ela zako pia unatunza bank,wataona ela ni nyingi kuliko kodi wanayokusanya kwako.Utaitwa kutoa maelezo.Hapo ndio mtaelewana,mitano tena..
Pia ukiuza chochote,ela ukalipiwa bank,kodi hukulipa...jua record yako ipo.. mambo ya muda tuu...
 
Nimekupata.
 
Duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…