Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Mfanyakazi/Mwajiriwa sasa kupewa TIN Number ili kutambulika kama mlipa kodi kupitia PAYE

Kodi ambayo mfanyakazi analipa kama mfanyakazi, ni PAYE. Hii wala haina shida na haikwepeki. Serikali inaikata mapema kabisa.

Mimi nadhani wanataka kutrack mali za wafanyakazi . Kama mfanyakazi ana TIN ya gari alimiliki halafu akauza, mfano, itaonekana. Hasa kama aliuza bila TRA kujua, na kupata mgao wake.

Kwa vyovyote, ni ishara tosha kuwa honeymoon ya uchaguzi imekwisha sasa, ni muda wa kamatakamata. Tutaisoma Namba haswa.

Ukiuza gari, nyumba nk lazima ulipe 10% ya bei uliouza inaitwa capital gain, so hio kodi huwez kwepa why? Ukiuza gari au kununua ili ubadilishe umiliki lazma ulipe hio 10% bila kulipa hautofanikiwa
 
Yaani hako katitu kamoja tu ndio sifa za miaka 5? Acha utopolo mbona Pinda aliwahi mpiga stop Magu kuendesha boma bomoa na wakati wa mgomo wa madereva? hao wote ni dhaifu tuu.

Kuna watu wanatafutwa hapo 😂

Tin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu

Maandalizi ya kupambana na economic sanctions...endeleeni kuimba mapambio

Kwani sasa wanalipaje hiyo kodi?

Ni vizuri kujizoesha kuwa na mawazo positive...SIO KILA KITU ni kuwazia negative
Ninavyo fahamu mimi , huo ni utambulisho tu kuwa mfanyakazi ndiye mlipa kodi na sio taasisi/kampuni kwa kuwa wewe ndiye unakatwa mshahara wako
Pia itasaidia serikali ukusanyaji wa mapato kwani wakiona mtu fulani hajatoa kodi, itabidi taasisi/shirika liulizwe kwa nini?
Lakini pia kukiwa na taxi exemption mfanyakazi anaweza kunufaika kwani sasa ataweza kuthibitisha kuwa, yeye ni miongoni mwa walipa kodi wazuri. Kumbuka kuna watu wanalipa kodi ya mshahara sawa au zaidi ya baadhi ya wamiliki wa maduka ya Whole sale ila kwa sasa hawatambuliki hivyo ikitokea tax exemption hawawezi kupata msamaha..

Kodi ambayo mfanyakazi analipa kama mfanyakazi, ni PAYE. Hii wala haina shida na haikwepeki. Serikali inaikata mapema kabisa.

Mimi nadhani wanataka kutrack mali za wafanyakazi . Kama mfanyakazi ana TIN ya gari alimiliki halafu akauza, mfano, itaonekana. Hasa kama aliuza bila TRA kujua, na kupata mgao wake.

Kwa vyovyote, ni ishara tosha kuwa honeymoon ya uchaguzi imekwisha sasa, ni muda wa kamatakamata. Tutaisoma Namba haswa.

Huu utaratibu ulianza toka mwanzoni mwa mwaka huu nadhani kama sio February/March huko

Na kodi hapa inayotafutwa ni ya wale walioajiriwa sekta binafsi

Wafanyakazi was maduka,madereva,walinzi no

Yaani Yale maswala ya kulipana mshahara kwenye bahasha laki 2 na nusu halafu sie waajiri tunaingiza mshahara kwenye matumizi tunapigiwa hesabu ya kodi tunalipa ndio mwisho

Inatakiwa na mshahara wa muajiriwa ukatwe PAYE kama wanavyofanyiwa watumishi wa umma halafu Kofi ipelekwe TRA ikiainisha na TIN ya muajiriwa wako

Patamu sana hapa
 
Ina maana ile mishahara ya kishenzi ndio inaelekea ukingoni? Lakini mbona wame base katika watumishi wa serikali!
 
Wazo kuu ya hili swala ni kubaini wanaokwepa kodi.Sasa itakuwa ni rahisi kubainiwa,kwa sababu record yako ya kulipa kodi ipo,inalinganishwa na mwenendo wa account zako,kama haziendani,wanajua unaibia serikali.Mfano,wewe ni mwajiriwa na ina vibiashara vyako kadhaa,ela zako pia unatunza bank,wataona ela ni nyingi kuliko kodi wanayokusanya kwako.Utaitwa kutoa maelezo.Hapo ndio mtaelewana,mitano tena..
Pia ukiuza chochote,ela ukalipiwa bank,kodi hukulipa...jua record yako ipo.. mambo ya muda tuu...
 
Taxpayer Indentification number (TIN), mfanyakazi yyte anayelipwa mshahara na amekidhi vigezo lazima alipePAYE ( pay as you earn). TRa sahvi wanatumia mfumo mpya wa kielectronic wa kufile ritani (E-filling) za VAT,PAYE, SDL nk.

Bila kuwa na TIN itakua ngumu kwasababu mfumo unataka uwe na TIN, na pia utambulike kama mfanyakazi halal wa taasisi husika, hakuna kukwepa kodi sahivi.
Nimekupata.
 
Ni kuboresha taarifa za walipa kodi tu.nchi itakuwa kama islaer yaani ukiingiza namba ya nida papo hapo ikupe namba ya nssf/psssf na tin number.wahusika watajua kama upo kazini au ni mfanya biashara.
na kama upo kazini basi taarifa za ukomo kazini ziwe zinawiana yaani ukisimamisha kodi ya PAYE na PSSSF/NSSF/ZSSF nazo zikome.
na faida ya pili tutaokoa wafanyakazi hewa kwenye taasisi za watu binafsi kwani ma hr wanabandika majina tu huku wahusika hawapo na matajiri hawajui kama wanaibiwa.
Tutafika mahali ambapo taarifa za vizazi na vifo nao watakuwa wanahitaji namba ya nida yaani ukiweka namba tu itasema huyu ni marehemu.
Duuuh
 
Back
Top Bottom