Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Kwani sasa wanalipaje hiyo kodi?
Kila taasisi ina muhasibu/accountant ndo huwa anafanya hio kazi. Watu wengi hawajui hata payee anakatwa sh ngap[emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani sasa wanalipaje hiyo kodi?
Kodi ambayo mfanyakazi analipa kama mfanyakazi, ni PAYE. Hii wala haina shida na haikwepeki. Serikali inaikata mapema kabisa.
Mimi nadhani wanataka kutrack mali za wafanyakazi . Kama mfanyakazi ana TIN ya gari alimiliki halafu akauza, mfano, itaonekana. Hasa kama aliuza bila TRA kujua, na kupata mgao wake.
Kwa vyovyote, ni ishara tosha kuwa honeymoon ya uchaguzi imekwisha sasa, ni muda wa kamatakamata. Tutaisoma Namba haswa.
Sio wafanyakazi wote wa wanalipa kodi (paye) kuna wanaolipwa a certain minimum amount wapo exemptedTin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu
Uko sahihiTin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu
Sio sahihi sio wafanyakazi wote wanalipa kodi (paye)Uko sahihi
Mbona kila mwenye akili lazima afahamu hili?Alafu we jamaa haya mambo ni ya ndani sanaaa. Wewe umejuwaje
Aiseee !!Bado kuanzisha "TIN" za waliopo kwenye ndoa. Wadada mjipange kisaikolojia.
Yaani hako katitu kamoja tu ndio sifa za miaka 5? Acha utopolo mbona Pinda aliwahi mpiga stop Magu kuendesha boma bomoa na wakati wa mgomo wa madereva? hao wote ni dhaifu tuu.
Kuna watu wanatafutwa hapo 😂
Tin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu
Maandalizi ya kupambana na economic sanctions...endeleeni kuimba mapambio
Kwani sasa wanalipaje hiyo kodi?
Ni vizuri kujizoesha kuwa na mawazo positive...SIO KILA KITU ni kuwazia negative
Ninavyo fahamu mimi , huo ni utambulisho tu kuwa mfanyakazi ndiye mlipa kodi na sio taasisi/kampuni kwa kuwa wewe ndiye unakatwa mshahara wako
Pia itasaidia serikali ukusanyaji wa mapato kwani wakiona mtu fulani hajatoa kodi, itabidi taasisi/shirika liulizwe kwa nini?
Lakini pia kukiwa na taxi exemption mfanyakazi anaweza kunufaika kwani sasa ataweza kuthibitisha kuwa, yeye ni miongoni mwa walipa kodi wazuri. Kumbuka kuna watu wanalipa kodi ya mshahara sawa au zaidi ya baadhi ya wamiliki wa maduka ya Whole sale ila kwa sasa hawatambuliki hivyo ikitokea tax exemption hawawezi kupata msamaha..
Kodi ambayo mfanyakazi analipa kama mfanyakazi, ni PAYE. Hii wala haina shida na haikwepeki. Serikali inaikata mapema kabisa.
Mimi nadhani wanataka kutrack mali za wafanyakazi . Kama mfanyakazi ana TIN ya gari alimiliki halafu akauza, mfano, itaonekana. Hasa kama aliuza bila TRA kujua, na kupata mgao wake.
Kwa vyovyote, ni ishara tosha kuwa honeymoon ya uchaguzi imekwisha sasa, ni muda wa kamatakamata. Tutaisoma Namba haswa.
Ina maana ile mishahara ya kishenzi ndio inaelekea ukingoni? Lakini mbona wame base katika watumishi wa serikali!Huu utaratibu ulianza toka mwanzoni mwa mwaka huu nadhani kama sio February/March huko
Na kodi hapa inayotafutwa ni ya wale walioajiriwa sekta binafsi
Wafanyakazi was maduka,madereva,walinzi no
Yaani Yale maswala ya kulipana mshahara kwenye bahasha laki 2 na nusu halafu sie waajiri tunaingiza mshahara kwenye matumizi tunapigiwa hesabu ya kodi tunalipa ndio mwisho
Inatakiwa na mshahara wa muajiriwa ukatwe PAYE kama wanavyofanyiwa watumishi wa umma halafu Kofi ipelekwe TRA ikiainisha na TIN ya muajiriwa wako
Patamu sana hapa
DuuhSo hawawajui hadi liwe jambo la nchi nzima? Upuuzi huu
Huyu atakuwa mtu mztoAlafu we jamaa haya mambo ni ya ndani sanaaa. Wewe umejuwaje
Nimekupata.Taxpayer Indentification number (TIN), mfanyakazi yyte anayelipwa mshahara na amekidhi vigezo lazima alipePAYE ( pay as you earn). TRa sahvi wanatumia mfumo mpya wa kielectronic wa kufile ritani (E-filling) za VAT,PAYE, SDL nk.
Bila kuwa na TIN itakua ngumu kwasababu mfumo unataka uwe na TIN, na pia utambulike kama mfanyakazi halal wa taasisi husika, hakuna kukwepa kodi sahivi.
Mkuu sema kitu.Aiseee !!
Yajayo yanasikitisha.Mbona kila mwenye akili lazima afahamu hili?
Kama nakuona, ngoja tuisubiri TZ mpya.Hii walitangaza muda sana
Ni nzuri kwa serikali na watumishi wote wa umma na sekta binafsi. Hii ni Tanzania mpya
E-government imetufikia
DuuuhNi kuboresha taarifa za walipa kodi tu.nchi itakuwa kama islaer yaani ukiingiza namba ya nida papo hapo ikupe namba ya nssf/psssf na tin number.wahusika watajua kama upo kazini au ni mfanya biashara.
na kama upo kazini basi taarifa za ukomo kazini ziwe zinawiana yaani ukisimamisha kodi ya PAYE na PSSSF/NSSF/ZSSF nazo zikome.
na faida ya pili tutaokoa wafanyakazi hewa kwenye taasisi za watu binafsi kwani ma hr wanabandika majina tu huku wahusika hawapo na matajiri hawajui kama wanaibiwa.
Tutafika mahali ambapo taarifa za vizazi na vifo nao watakuwa wanahitaji namba ya nida yaani ukiweka namba tu itasema huyu ni marehemu.
Utasubiri sana,hizo economic sanctions labda watawekewa chadema na mwemyekiti wao,hata ni maajabu eti lissu awe bora sana kuwaliko watu 50M huu ni upuuzi kuamini katika hiliMaandalizi ya kupambana na economic sanctions...endeleeni kuimba mapambio
Mkuu , relax. Tunahitaji kuendelea kupewa elimu.Utasubiri sana,hizo economic sanctions labda watawekewa chadema na mwemyekiti wao,hata ni maajabu eti lissu awe bora sana kuwaliko watu 50M huu ni upuuzi kuamini katika hili