Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Ni mwendo wa wananchi kupiga magoti tu wanasiasa walishapiga wakati wa kuomba kura.Mwambie huyo.wakati tarehe 28 mwezi wa 10 imeshapita.huu sio muda wa kubembelezana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwendo wa wananchi kupiga magoti tu wanasiasa walishapiga wakati wa kuomba kura.Mwambie huyo.wakati tarehe 28 mwezi wa 10 imeshapita.huu sio muda wa kubembelezana.
Nimekuelewa japo sjaupenda huu mfumoNaomba nitoe mfano kidogo tu ,nilikuwa na duka sikulipa kodi kwa miez sita baada ya mda wa mwanzo kifika ,nikawa na bajaji ikakamatwa nilipokwenda Sumatra walinitaka nifike tra kulipoa leseni .kuingiza tin yangu ilionekana na biashara nyingine ya duka nadaaiwa hivyo ilibd nilipie kodi ya duka na bajaj ndo niruhusiwe kuondoka nayo.
Kiufupi tin ni nzuri lakn wafanyakaz mjipange kulipa kodi kiufasaha kabsa kwa kila mnachofanya kuongeza kipato.pia biashara yako .na mda wa kufanya biashara bila kuzingatia mda wa serikal unaolipwa mshahara pia nao utafuatiliwa vizur
Nendeni kachukueni tin mtimize malenho ya serikal lakn mjue kuishi kiujanja ujanja na kukwepa kwedi itakuwa mwisho
Kwa pamoja tuijenge nchi
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Hatari sana.Happy kinachotafutwa Ni kuzitambua Mali wanazomiliki watumish wa Umma.
Ukifanya fyoko fyoko wanadili na wewe Hadi kwenye maisha yako mengine
Mimi nishazipata.Halafu ukija kuandaa hesabu zako za mwaka unafanyaje mkuu ili ubaki na faida kubwa??
Nikuibie siri ilivyokua inafanyika. Unalipa mishahara watumishi wako 50 tsh 300,000@ halafu kwenye mahesabu yako unaenda kuandaa kwa muhasibu/tax consultant unaandika umelipa watu 70 tsh 350,000@ kwa kuonesha labda daftari tu la mishahara na saini. Inapigwa hesabu mapato-matumizi(inflated) kinachobaki kinapigiwa hesabu Kofi
Sasa hivi itakua na TIN ya biashara na ya wafanyakazi 50 kwa mfano kilichoingia na kilichotoka tayari kinaonekana
Ila ofkoz njia nyingine za kukwepa zitapatikana tu(sitaziandika hapa) hahahaaa
Ni kuboresha taarifa za walipa kodi tu. Nchi itakuwa kama islaer yaani ukiingiza namba ya nida papo hapo ikupe namba ya nssf/psssf na tin number.
Wahusika watajua kama upo kazini au ni mfanya biashara.
Na kama upo kazini basi taarifa za ukomo kazini ziwe zinawiana yaani ukisimamisha kodi ya PAYE na PSSSF/NSSF/ZSSF nazo zikome.
Na faida ya pili tutaokoa wafanyakazi hewa kwenye taasisi za watu binafsi kwani ma hr wanabandika majina tu huku wahusika hawapo na matajiri hawajui kama wanaibiwa.
Tutafika mahali ambapo taarifa za vizazi na vifo nao watakuwa wanahitaji namba ya NIDA yaani ukiweka namba tu itasema huyu ni marehemu.
Mkuu huu ni mshahara wa mwalimu.Mi yangu 420000
Mkuu kazia kidogo.Sio ni maandalizi ya tukinyimwa misaada wapi pa kuwabania
Huu utaratibu ulianza toka mwanzoni mwa mwaka huu nadhani kama sio February/March huko
Na kodi hapa inayotafutwa ni ya wale walioajiriwa sekta binafsi
Wafanyakazi was maduka,madereva,walinzi no
Yaani Yale maswala ya kulipana mshahara kwenye bahasha laki 2 na nusu halafu sie waajiri tunaingiza mshahara kwenye matumizi tunapigiwa hesabu ya kodi tunalipa ndio mwisho
Inatakiwa na mshahara wa muajiriwa ukatwe PAYE kama wanavyofanyiwa watumishi wa umma halafu Kofi ipelekwe TRA ikiainisha na TIN ya muajiriwa wako
Patamu sana hapa
Hatari miradi inataka pesaMkuu kazia kidogo.
Punguza sauti mkuu.Nchi zingine upo utaratibu huu au tumekopi rwanda
Sector binafsi wameshaanza kutekeleza mkuu.Ila nadhani itakuwa ngumu sana hasa kwa sector binafsi, wangerekebisha kwanza mifumo ya uajiri.
Asante kwa taarifa, ila sidhan kama n woteSector binafsi wameshaanza kutekeleza mkuu.
Vp kuhusu wanaolipa Tax Indirecly kupitia VAT kama kijana wa miaka 20 akinunua daftari dukani kwa mangi?Tin no ni usajili wa mlipa kodi yeyote na kwa kuwa wafanyakazi wanalipa kodi wanapaswa kuwa nayo ni mawazo yangu lkn mkuu
Zoezi ni endelevu mkuu.Asante kwa taarifa, ila sidhan kama n wote
neKuna taarifa inasambazwa kwa video clip na magazetini ikiwa imetolewa na TRA kuwataka waajiliwa wote kuwa na TIN. Ni taarifa ambayo naona kama inatokana na uongozi wa TRA wenye mapungufu ya hekima. Kwanza imeletwa ikiwa na kikomo (ultimatum) wakiamini wanayo nguvu hiyo ya kuwapa ultimatum waajiliwa wote. Pili imetolewa utadhani ni jambo la dharula. Tatu imetolewa kwa lugha ya hovyo, isiyo na uungwana pamoja na tishio la kuzuia mshahara wa mwajiliwa.
Naomba TRA wasijitwishe madaraka yasiyo yao. Mwajiliwa yeyote hajawahi kuwa na mkataba wa aina hiyo na TRA. Kama TRA wanaleta utaratibu mpya, wanatakiwa wawe waungwana (reasonable). Walete taarifa ya kiungwana na siyo kutishia wakati hakuna mwenye makosa. Labda wanaiga lugha za viongozi wanaomiliki vyombo vya dola. TRA hana nguvu ya aina hiyo na ni makosa kutishia watu wasio na mkataba wa aina hiyo.
Asante mkuu, nimekupata vyedi.Zoezi ni endelevu mkuu.
Kuuza gari bila TRA kujua manake unayemuuzia habadili jina lako, na asipobadili manake TRA hawatojua kama uliuza hilo gari. Point yako kama haielewekiKodi ambayo mfanyakazi analipa kama mfanyakazi, ni PAYE. Hii wala haina shida na haikwepeki. Serikali inaikata mapema kabisa.
Mimi nadhani wanataka kutrack mali za wafanyakazi . Kama mfanyakazi ana TIN ya gari alimiliki halafu akauza, mfano, itaonekana. Hasa kama aliuza bila TRA kujua, na kupata mgao wake.
Kwa vyovyote, ni ishara tosha kuwa honeymoon ya uchaguzi imekwisha sasa, ni muda wa kamatakamata. Tutaisoma Namba haswa.
Na mitano mingine tena.Mitano tena