Mfanyakazi TRA: Toka nianze kazi TRA miaka 8, haupo wakati ukusanyaji kodi ulikubalika kama wa Hayati Magufuli

Ibeni tu lakini muda ukifika tutawasaka hata kama mpo Marekani.

Kwa style ya Kagame.Utakabiliwa na eidha kesi ama mtutu.

Endeleeni kuiba na kujisifu
"...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao."

"...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka kuwarubuni maafisa kwa rushwa ilipungua km siyo kukoma kabisa!"

"...ndugu yangu yule jamaa hata kama alikuwa na mapungufu lkn kwenye suala la kodi aliweza sana."

"...nowadays mm natukanwa hadi kwenye simu eti kwanini namsumbua mfanyabiashara!"

"...watu wameona ujinga bora kujipigia km zamani na mapato ya sasa ni aibu ndiyo maana unaona hawatangazi."

Afisa wa TRA.
 
Ukio mwanamke mwenye hasira umekwisha hasira ni shetani.Hasira ni ugonjwa,mtu timamu hawezi kuwa na hasira.
Hasira ni rahisi kutembelewa na shetani ukaleta maafa.
Hasira ni nyumba ya shetani
Hasira ukaa moyoni mwa mtu mpumbavu, mwenye hekima hasira ukaa mbali nae.
Ukioa mke mwenye hasira utazaa watoto wenye hasira,hasira ni laana
 
Mwanamke mwenye hekima uulinda Sana ulimi wake usije mletea maafa.Kauli chafu ndio chanzo cha vifo vingi vya wanawake.
Maneno ni roho kamili inayoishi kwa maana chochote unachokitamka kiwe laana au baraka kinatendeka Kazi kwenye ulimwengu wa roho ndo maana kwa kutamka tu Jina la Yesu wachawi,mapepo,majini ukimbia.
Wazazi wengi wameua destiny ya maisha ya watoto wao kwa kuwatamka mabaya watoto wao,Siri hii wanaijua wenzetu weupe wao uwatamkia watoto wao maneno ya positive maneno ya kujenga thus hata wakiwa wakubwa ufanya mambo makubwa Sana.
 
So sad, nchi inapigwa mnada hii, watu wa nchi hii ukitaka kujua kuwa ni wajinga na sio watu serious when it comes to serious issues ni kwa jinsi gani wamereact kwa kauli ya ndugai, mtu wa 4 kutoka rais anapoongea jambo zito kama hilo inspite of the powers above him, kwa watu serious wangejua sasa alarm kubwa kabisa imelia nchini,
Acha ujinga dogo, vitu vingine uwe unatulia unapoona mjingamjinga km yule anaropoka
unapompa sifa kuwa ni mtu wa 4 kutoka Rais mpe hata wa 2 baada ya Makamu ni yeye
Sasa nakwambia ni tajiri kuliko wote Tanzania ndani ya miaka 6 tu ya Madaraka yake
Ameweza kuua upinzani kwa kutumia mabavu hata kuandaa Hotuba ya mtu aliye hai kuwa Mpinzani TL hatunae tena
Kamtandika mwenzake bakora akijua hata kaa apate kura katika Jimbo lake
Maghorofa aliyo nayo kwa muda mfupi hayahesabiki licha ya Hostel katika Chuo cha Serikali
Tatizo ulaji wake umebanwa sio km enzi ya mwendazake na kugundua Makao Makuu hayapo tena ndipo chuki imezidi
Huwezi kumpinga Mkiti wako nje ya Vikao, ingekuwa mwendazake hakuna Kikao kingekaa angeadhibiwa km Sofia Simba, Sumaye, Lowassa, Kimbisa, Nchimbi.
Acha kumsifia ujinga hicho Kikadi chake akinyang'anywa atarudi kwenye vumbi
Yalimkuta Mangula, sema mama hana chuki hizo lk mjazeni ujinga aendelee kupingana na Mkiti wa Chama chake
 
"...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao."

"...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka kuwarubuni maafisa kwa rushwa ilipungua km siyo kukoma kabisa!"

"...ndugu yangu yule jamaa hata kama alikuwa na mapungufu lkn kwenye suala la kodi aliweza sana."

"...nowadays mm natukanwa hadi kwenye simu eti kwanini namsumbua mfanyabiashara!"

"...watu wameona ujinga bora kujipigia km zamani na mapato ya sasa ni aibu ndiyo maana unaona hawatangazi."

Afisa wa TRA.
acheni kumkaangia mama kunguni
 
Nashaur chuma kirudi au nasema uongo ndugu yang!
"...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao."

"...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka kuwarubuni maafisa kwa rushwa ilipungua km siyo kukoma kabisa!"

"...ndugu yangu yule jamaa hata kama alikuwa na mapungufu lkn kwenye suala la kodi aliweza sana."

"...nowadays mm natukanwa hadi kwenye simu eti kwanini namsumbua mfanyabiashara!"

"...watu wameona ujinga bora kujipigia km zamani na mapato ya sasa ni aibu ndiyo maana unaona hawatangazi."

Afisa wa TRA.
 
Punguza speculation na kulisha watu maneno, kipindi cha JPM kodi zilikusanywa kwa shari tena kwa over estimation na kutumia nguvu za task force; biashara nyingi zilifungwa kama takwimu za NBS zinavyoonyesha.

Imagine Sabaya anakusanya kodi kwa mtutu wa bunduki tena nje ya jurisdiction yake alafu unategemea hyo kodi isilipwe.

Kuna account zilikombwa hela kimya kimya kupitia notice kutoka TRA kwenda kwa benki ya mfanyabiashara husika. Alafu unategemea msisifie kuwa ukusanyaji ulikua mkubwa??

JPM was overrated and that is the fact
Kwa huyo watu walikuwa wanaogopa mitutu ya sabaya na Makonda na sio kulipa kwa furaha so ndio mdau?
 
Acha ujinga dogo, vitu vingine uwe unatulia unapoona mjingamjinga km yule anaropoka
unapompa sifa kuwa ni mtu wa 4 kutoka Rais mpe hata wa 2 baada ya Makamu ni yeye
Sasa nakwambia ni tajiri kuliko wote Tanzania ndani ya miaka 6 tu ya Madaraka yake
Ameweza kuua upinzani kwa kutumia mabavu hata kuandaa Hotuba ya mtu aliye hai kuwa Mpinzani TL hatunae tena
Kamtandika mwenzake bakora akijua hata kaa apate kura katika Jimbo lake
Maghorofa aliyo nayo kwa muda mfupi hayahesabiki licha ya Hostel katika Chuo cha Serikali
Tatizo ulaji wake umebanwa sio km enzi ya mwendazake na kugundua Makao Makuu hayapo tena ndipo chuki imezidi
Huwezi kumpinga Mkiti wako nje ya Vikao, ingekuwa mwendazake hakuna Kikao kingekaa angeadhibiwa km Sofia Simba, Sumaye, Lowassa, Kimbisa, Nchimbi.
Acha kumsifia ujinga hicho Kikadi chake akinyang'anywa atarudi kwenye vumbi
Yalimkuta Mangula, sema mama hana chuki hizo lk mjazeni ujinga aendelee kupingana na Mkiti wa Chama chake
Ukijua kukaa nyuma ya keybody basi kaka zako wote unaona madogo tu, pole sana .
 
"...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao."

"...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka kuwarubuni maafisa kwa rushwa ilipungua km siyo kukoma kabisa!"

"...ndugu yangu yule jamaa hata kama alikuwa na mapungufu lkn kwenye suala la kodi aliweza sana."

"...nowadays mm natukanwa hadi kwenye simu eti kwanini namsumbua mfanyabiashara!"

"...watu wameona ujinga bora kujipigia km zamani na mapato ya sasa ni aibu ndiyo maana unaona hawatangazi."

Afisa wa TRA.
Rubbish
 
sio lazima wote waje JF kujibu, mara zote tunapita kimya huwezi kutuita ni wajinga eti serious issue
jipe muda na huyo Ndugai
lakini kutudanganya eti So sad, nchi inapigwa mnada hii, watu wa nchi hii ukitaka kujua kuwa ni wajinga na sio watu serious when it comes to serious issues ni kwa jinsi gani wamereact kwa kauli ya ndugai,
 
sio lazima wote waje JF kujibu, mara zote tunapita kimya huwezi kutuita ni wajinga eti serious issue
jipe muda na huyo Ndugai
Poa mkuu, tusubiri mwaka mpya, ndugai anahesabu pesa za Esther bus service jioni, na likizo hii wamepandisha nauli,
Tuangalie ugali wetu mwakani tukijaaliwa kuvuka,
 
Ukisanyaji uliokubalika kwa nani?! Hebu acha kutuharibia sikukuu za mwaka mpya aisee.
 
"...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao."

"...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka kuwarubuni maafisa kwa rushwa ilipungua km siyo kukoma kabisa!"

"...ndugu yangu yule jamaa hata kama alikuwa na mapungufu lkn kwenye suala la kodi aliweza sana."

"...nowadays mm natukanwa hadi kwenye simu eti kwanini namsumbua mfanyabiashara!"

"...watu wameona ujinga bora kujipigia km zamani na mapato ya sasa ni aibu ndiyo maana unaona hawatangazi."

Afisa wa TRA.
Yaani huyu ni bonge ya muongo hawa ndiyo wale chawa wala siyo mfanyakazi wa TRA huyu. Miaka nane eti kashakuwa anajua kila kitu kweli? Amejuaje wakati wa Marehemu Mkapa, enzi za mze wetu Kikwete. Huyu analake jambo tu asilete porojo chawa kweli shida.
 
Mkuu
Wewe kweli ulifanya biashara awamu ya tano
Hakuna muda Tra walikuwa miungu watu kama awamu hiyo
Acha tu mkuu, natumai wafanyabiashara hawatapitia ile hali tena.
 
Back
Top Bottom