Mfanyakazi wa ndani auawa Uarabuni na mwili wake kutupwa chini ya gari

Tatizo huelewi wewe...Pointi yangu ya chanzo cha manyanyaso ni ubaguzi wa rangi ipo palepale...Ila ukiendana nao dini itakupunguzia risk... Wazoefu wamenielewa ila wewe wakugoogle huwezi nielewa.

Kama tatizo ni rangi kwanini alimuajiri from the first place? kwani hamna weupe akawaajiri? Indians, Philippians, Pakistanis, Indonesians.

Punguza ujinga mkuu
 

indonesia wa philipino lazima mishahara yao isiandane na waafrika kutokana na ufanisi wao wa kazi. Acha kuropokwa kwa usichokifahamu mkuu, hao watu wanaingia madarasani kwa ajili ya kujiandaa na hizo kazi hawaokotwi mitaani tu kama huku kwetu, kiufupi wamejipanga.
 
Kama tatizo ni rangi kwanini alimuajiri from the first place? kwani hamna weupe akawaajiri? Indians, Philippians, Pakistanis, Indonesians.

Punguza ujinga mkuu
Anaona mtu mweusi ndo atampeleka anavyotaka bila wasiwasi wowote.
Wewe punguza ujinga×2
 

mkuu na zaidi wengi wakirudi shavu limetoka kwa kujichana, hula mpaka wakaishia kuvitizama tu. kuna mmoja aliwahi kunambia kwa kila siku alikua anakata kuku mzima kama masihara, uswahilini alikua akimuona kwenye masunduku tu anauzwa.
 

tatizo hamuaminiki mamy, dunia haimuamini muafrika kutokana na records zake.
 
Mkuu umefanya vizuri , jaribu kuweka andiko linalohusu uarabuni ( Kama neno lilivyo) then uone Kama Lebanon ipo kwenye nchi za uarabuni
 
Mbali na yote hayo wasichana tumekuwa hatujifunzi kwani si ajabu limetokea hili lakini yupo mwingine anasubiria Corona iishe aende akafanye hizo hizo kazi za ndani.
Hakuna mantiki ya kuwazuia kwenda hio ni ajali kazini muhimu ni kuwatengwnezea mazingira Salama huko.Wapo wengi tu wamenufaika wamejenga,wamesaidia familia zao, wameolewa huko,wamesomesha ndugu zao.Kuliko kulipwa elf 50 tena ya matusi ndani kwann usiende kuchukua milioni kasoro nje
 
Nani wa kuwatengenezea hayo Mazingira salama?
 
Dawa ya muarab Ni USA, huwa anayanyoosha kweli kidogo yanakuwa na adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Roho mbaya aina taifa.Asilimia kubwa hata hapa nchini wanaotesa Dada wa Kazi ni wanawake Kwa sababu awapendani.Huwezi sikia mwanaume kauwa au anatesa Dada wa Kazi,hata hapa nchini wanateswa sana wanapitia magumu sana hawana jinsi sababu wametoka familia masikini ulazimika kufanya tu Kazi huku mioyo yao imepondeka.Wanapigwa,tukanwa,zulumiwa,wananyanyaswa kijinsia nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…