Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Waarabu wanaoua wafanyakazi weusi huwa hawachukuliwi hatua zozote na huyo hatachukuliwa hatua yoyote.. Wewe kama unakisia wengine tunajua uhalisiaNa wewe umejuaje kama hakuchukuliwa hatu? Wewe unafikiri mahakama za huko kama za hapa kwetu rushwa kibao!! Waafrika ndio maana ha2enderei,,2nakufa mackn kwa sababu ya chuki ze2 kwa weupe.
Jitafakari upya na wenzio waliocomment apo juu.
Ucjali mkuu....,hivi vibinti vinaleta mambo ya kusutana humu tunavichukulia hivyohivyo tu.Easy man!
Wana roho mbaya hawa binadamu
""Nchi ya Lebanon ina wafanyakazi wa ndaniHata Arusha aliuwawa na bosi wake, na WaTz nao wana roho mbaya sanaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukileta ushahidi wa Mwarabu mmoja tu aliyechukuliwa hatua na kesi kutolewa hukumu nipigwe ban ya maisha.Na wewe umejuaje kama hakuchukuliwa hatu? Wewe unafikiri mahakama za huko kama za hapa kwetu rushwa kibao!! Waafrika ndio maana ha2enderei,,2nakufa mackn kwa sababu ya chuki ze2 kwa weupe.
Jitafakari upya na wenzio waliocomment apo juu.
Jitofautishe na layman kwa kutoongelea vitu kwa ujumla. Fanya tafiti walau kupitia vyombo vya habari kabla yakugeneralize mambo.Waarabu wanaoua wafanyakazi weusi huwa hawachukuliwi hatua zozote na huyo hatachukuliwa hatua yoyote.. Wewe kama unakisia wengine tunajua uhalisia
Hivi waindonesia nao ni wabantu siku hiziJitofautishe na layman kwa kutoongelea vitu kwa ujumla. Fanya tafiti walau kupitia vyombo vya habari kabla yakugeneralize mambo.
View attachment 1398905
Hatari sana kwa wadada wa kiafrika kuwepo nchi hizo za kiarabu.Wafanyakazi 250,000 halafu wawili wanakufa kila wiki na hakuna hatua zozote?
Mi ndio maana siwaonei huruma hata kama wanatendewa visivyo na Israel au USA, wao ni wabaya zaidi
Sky, una hakika gani?
Mtu kama atafuta unafuu wa maisha na akapata nafasi ya kwenda huko kwa nini asiende?
Kama anahudumia ngozi nyeusi na manyanyaso pia ayapata, atashindwaje kumuhudmia ngozi nyeupe?
Wapo watu wanaenda hizo nchi za waarabu kufanya kazi za nyumbani na wanatoka kimaisha. Na ndio maana waona wimbi kubwa la raia toka nchi mbalimbali za Afrika wanatimkia huko, ni kwa sababu wanachokipata huko hata kama kidogo lakini hakilingani na wangechokipata kwa kufanya kazi nchini mwao.
Kuna binti mmoja yupo huko miaka tele na amejenga kwao nyumba kubwa ya block na anawasapoti mno wazazi wake kiasi kwamba wanajimwambafy kwa wengine.
Lebanon waarabu piaHapo sio Uarabuni mkuu , hapo ni Lebanon , Uarabuni Ni UAE ( Dubai)
Uarabuni haina maana UAE tu kwani hata Saudi Arabia ni uarabuni lakini haipo UAE.Hapo sio Uarabuni mkuu , hapo ni Lebanon , Uarabuni Ni UAE ( Dubai)
Panua maarifa yako na upembuzi wa mambo. Kama muindonesia (ambaye pia ni masikini mwenzetu na kazi yake ilikuwa kufanya kazi za ndani kama hao wabantu unaowazungumzia) aliyenyanyaswa hatua zikachukuliwa itawezekana vipi akosekane mbantu aliyepata haki zake?Hivi waindonesia nao ni wabantu siku hizi
Una kichwa kigumu aiseePanua maarifa yako na upembuzi wa mambo. Kama muindonesia (ambaye pia ni masikini mwenzetu na kazi yake ilikuwa kufanya kazi za ndani kama hao wabantu unaowazungumzia) aliyenyanyaswa hatua zikachukuliwa itawezekana vipi akodekane mbantu aliyepata haki zake?
Kitu ambacho huzifanya mamlaka za nchi nyingi kutowapatia haki wafanyakazi wa ndani ni dhana ya ubora wa raia wao juu ya watu wengine hasa toka nchi masikini zikiwemo hizo za waafrika, Latin Amerika na nyingine za Asia.
Na huu ni mfano mwingine wa wanandoa nchini Kuwait ambao mamlaka ya Kuwait iliwauawa baada ya wao wanandoa umuua mfanya kazi wa ndani.
Jambo la msingi: usipende kuelezea mambo kwa ujumla pasi na kuwa na data za kutosha.
View attachment 1398915
Waarabu?Wana roho mbaya hawa binadamu
Ni kwa sababu una maarifa madogo ndio maana washindwa kung'amua vitu vidogo hivyo.Una kichwa kigumu aisee
Sidhani kama watu au serikali ilichukulia poa. Ndio maana hata serikali iligharamia mazishi na gharama za msiba.Siungi mkono haya yanayotokea lakini si ajabu Uzi huu watu wakatema povu sanaa kwasababu huyo dada kauliwa na mtu wa rangi nyingine lakini yule Mama wa Arusha tukachukulia poa kwakuwa ni Muafrika mwenzetu.
Unafiki sijui utatuisha lini sisi.
Tunaongelea kuhusu watu weusi we unaleta waarabu wa Indonesia na wafilipino si uwendawazimu huo.Ni kwa sababu una maarifa madogo ndio maana washindwa kung'amua vitu vidogo hivyo.
Level yako ni kuongelea vitu kwa ujumla kusikia taarifa redio mtete.
Ukiombwa ushahidi, huna.