Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Chadema watakushukia kama mwewe
 
Haya mambo bhana, kuna pangu pakavu mimi sijui nile nini usiku, lakini kuna mtu mmoja ana B 7 kazitunza stoo.
 
Nimewaza tu Magu angekuwepo angefanyaje
 
TRA kuna pesa bhana, kunae mkaka wa mtaani kwetu, alimaliza UDBS 2017, mwaka juzi 2021 akapata kazi TRA huko Singida, jamaniiiiii.

Nyumba imejengwa week 3 kila kitu had fence. Sahivi ana ndinga Prado Tx, maisha kwake oyaah oyaah!! Bas vijana wa rika lake wananvyonangwaa mtaani mwenzao kashatoboaa.

Ila ndo malayaa mbwaa, mxxxxiiiiiieeeew.
 
Nyumba week 3 duh....mkuu mhurumie ulihesabu vibaya
 
Nyumba week 3 duh....mkuu mhurumie ulihesabu vibaya
Wala sitanii na siongei uongo, msingi unachimbwa gari za kokoto na mchanga zinaletwa, tofari trip zinashushwa, ile nyumba mwezi haijatimia, kila kitu had fences.

Kilichobaki labda finishing ndani, maana tinted ziliwekwa tayari, nyumba iliishia haraka ile sijawahi ona hataa, ndo had mafundi walisema ujenzi ukiwa na helaa mbona fastaa tyuu.
 
Kinachofurahisha watanzania kuamini kwao ipo siku watu wenye nafasi za kufanya ubadharifu watabadalika na kuwa wema tu wenye maadili kwa maslahi ya taifa.

Hakuna kazi ngumu duniani kama ya kuwabadili watu tabia (tafuta kitabu chochote cha ‘change management), wenzetu wazungu washaelewa changamoto hizo ndio maana wakaja na science ya kubadili tabia na taratibu za kufanya hiyo shughuli.

As far as change management process is concerned ata huyo Magufuli alikuwa soft kwa standards za wazungu, shida ni kwamba alianza mabadaliko ambayo watanzania hawajazoea na support ya watu wachache.

Lazima atokee Magufuli mwingine ili nchi ibadilike tabia na hiyo ni nusu kazi; maendeleo pia ni culture ambayo lazima iwe imposed by force na jamii kuwa adoptive to changes, msingi wa mabadiliko uwe sheria mpya, technology, ushindani wa kibiashara, regional integration, societal attitude or whatever.

Nchi inahitaji mtu wa kubadili watanzania tabia or else miaka 50 ijayo itabaki kuwa miongoni ya nchi maskini bado.

Dunia inataratibu zake za kufanya mambo kwenye kila, na mambo hayafanyiki kama tunavyodhani kwenye vichwa tu; kuna science logic behind decisions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…