Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Ngoja tuone Nani atawajibika kwa kujiuzulu mwenyewe au kwa kuwajibishwa !

Au it’s business as usual 😳🤦🏽‍♂️
 
Baba tra, mama tra, mjomba tra, bibi tra, babu tra alafu mnatakaa mtoto akawe fundi bomba.........
 
TRA kuna maajabu sana yaani vijana wa 2000 wamemaliza vyuo sababu ni wachaga wamepata kazi TRA wana ukwasi na magorofa ya hatari.

Yupo.kijana mmoja mtoto wa Shao( maarufu kama mtoto wa mama teddy) pale mbezibeach rainbow kamaliza ifm miaka ya 2018. Nilimkuta kwa mkuu wa wilaya anafuatilia kibali cha kumiliki bastola kisa yupoTRA ana pesa nyingi eti atakabwa.

Yupo mwingine Ngajiro alikiwa longroom lakini walimfukuza kwa ufisadi. Kuna akina kimaro na wale wa airport Tra wana ukwasi wa hatari.

Sijui takukuru wamelala wapi. Na ile Fass sijui ya TRA law enforcement department inafanya kazi gani.
Mkuu ina maana wewe huwa unaona kabila moja tuu? Mengine hujihusishi? Tunapojadili mambo ya Kitaifa tuache kuingiza au kuchanganya na ukabila au udini, hicho kinakuwa kama kichaka cha kujificha wewe unayefanya halafu unataja watu wengine.
 
Back
Top Bottom