Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Ni headline ya gazeti la Raia Mwema. Je ni nani huyu mfanyakazi? Hatua gani zimechukuliwa dhidi yake? Je wangapi wana ukwasi huo?

View attachment 3038595
Alafu utasikia- lipeni kodi! Jamani Watanzania lipeni kodi kwa maendeleo ya nchi yetu, haya wanaotuhimiza ndo hao wanaokutwa na mapesa yote hayo ndani
 
Tatizo kila anayewekwa anawaza kuchumia tumboni tu wazalendo wa kweli wamepungua sana kwenye hili taifa
Kama mtu amepata nafasi kwa kuhonga unategemea anarudishaje? nchi ya kijinga sn hii wewe iba kwa nafasi yako maswala sijui ya uzalendo achana nayo kabisa vinginevyo utakuwa ni mjinga sn wenzako wanatajirika wewe unawaza uzalendo
 
Kama tunahitaji mabadiliko. Basi mabadiliko ya kweli yanaanza kwa mimi na wewe tuanze kuwafundisha watoto wetu kuanzia ngazi ya familia namna ya kulinda rasilimali. Muda bado upo tusikate tamaa
 
Back
Top Bottom