Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Nchi inaibiwa kupita kiasi na haya majangili
Yawezekakana.
Lakini ukiona mtu anahodhi fedha ndani kwa kiasi hicho ni lazima tukubali hizo ni fedha haramu.

Kama zingetokana na vitega uchumi halali, wala asingekuwa na sababu ya kuzihodhi bali angeziweka benki kwani huko ndiyo tunatunza fedha. 🙏🏽🙏🏽
 
Back
Top Bottom