Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Kazipataje ? Hizo pesa ni nyingi sana kuwa nazo in cash
TRA wadada wale na vibwana mdogo vinajenga apartment GOBA kule ma'mae zimetapakaa tu mpaka Salasala Madale huko wanaporomosha Mahekalu tu

Kuna apartment 1 nilionyeshwa IPO GOBA haijaishaisha Ila unaambiwa haikusimama mpaka inafika juu ni apartment ya Ghorofa alafu naambiwa mwenye hio apartment ni kabinti tu kana miaka 21 ukikaona huwezi kukazania km ndio kamiliki ka hio apartment TRA noma
 
Back
Top Bottom