Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

MAmbo ya ajabu sana tra na raisi yupo anaangalia tu
 
Watz hawa hawa ambao uhuru wenyewe walipewa tuu na sio kuupigania🤣🤣🤣🤣
 
Title ya uzi iko clear lakn maelezo yake ni malalamiko tu sijaweza kuelewa story yake ikoje na wala hizo pesa zilitaifishwa au
 
Civil services na usalama wa taifa sio shughuli za mzaha.

Kodi sio swala la mzaha

Na uongozi wa juu sio swala la mzaha, ndio maana unaona Liberal Democrat’s huko US wameanza kujitokeza Biden aachie nafasi kwa mwengine kabla awajakutana kwenye mkutano wa August kumpitisha mgombea wa Liberal.

Tofauti yetu na hawa mabeberu, senior civil servants imejaa (philosopher kings, in Plato’s perspective) they can gamble with someone like Biden, if he wins being a w weak president it allows them to run the country with less political intervention.

Similar to our situation. Isipokuwa civil services yetu aina meritocracy’ (wazalendo ni wachach) wengi wamefikia hizo nafasi bila ya kupikwa kwa ulinnzi wa nchi. Wanachofikiria ni maslahi yao I have met a couple.

Samia hana tofauti na Biden, ila anatakiwa kwa maslahi ya watu tu sio kwa sababu ya maslahi ya taifa bali yao.

Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili na wazalendo. Ndio maana unaitwa ‘intelligence’.

Hakuna shughuli hapo.
 
Unadhani ni rahisi kumchunguza mtu mwenye hela?
Bila kuwa na Rais strong,haya mambo hutaacha kuyasikia
 
Kaka mm nilijuwa utaleta gazeti zima nilisome huku simiyu
 
Watu wanaangalia pafupi sana mkuualfu mwisho W siku h a o ndio watoa mchango mkubwa kubwa
 
Mi nasema hivi...kama CCMM na watu wake wasipo badilishwa kama mfumo wa kupokezana madaraka hakika nasema maendeleo bongo kamwe hayatoweza kutokea.

Sasa kama maafisa wa kubwa wa serikali ambao Watanzania wenzetu kama Watanzania wengine wana treatiwa kama wazungu na full acommodation zilizo shiba kwa kodi zetu.Unadhan ni Watanzania wangapi wanakosa huduma za msingi kwa sababu za gharama kwa ajili ya kuhudumia Afisa mmoja wa serikali.

Any way acha tunuruzwee mpaka vizazi na vizazi...
 
Nchi hii ogopa wafanyakazi wa TRA na BANDARI hao watu wana utajiri wa kutisha tena mpaka vijana wadogo.
Kitu gani cha kushangaza wewe ukimsikiliza yule ‘Eric Hamisi’ akiongea hoja za biashara anafikia hata robo ya ‘Kakoko’ hiyo sio bahati mbaya.

Wanawaweka watu wasio na uwezo kwenye hizo nafasi wapige deal zao, worst wanaingia mikataba mizuri (yenye bad terms) bila ya kujali ilimradi washalipwa.

Personal nitatetea proposal ya DPW mpaka kesho ya uboreshaji wa shughuli za bandari mpaka kesho on the infrastructure investment plans, lakini kuwapa mkataba wa miaka 30 ya kuvuna huo ni ujinga uliopitiliza.

Same thing shida ya mchezo wa kodi za VAT bandarini ni mdogo sana, what happens bidhaa za wafanyabiashara wanao nunua China. Huko wanaponunua wanalipa VAT.

Kwa sababu wanasafirisha wanatakiwa warudishiwe VAT China. Wanunuzi wenyewe wengi wanaonunua awaendi China wanatumia watu kama GSM ambao hiyo VAT ya export wanachukua wao.

Mzigo ukifika bongo unapigwa VAT nyingine, GSM wana mbinu za kuutoa mzigo on bulk procurement, mfanyabiashara hana VAT return ya China. Wala hana VAT output ya bandari. Wanajikuta wana gharama kubwa za kuuza.

Kupatw faida kwao wafanyabiashara ni bora kujaribu kukwepa kodi tu, kuuza bila ya kutoa receipt.

Na wengi hawana bookkeeping Ndio shida ilipo, wala uelewa wa traceability ya VAT kutoka China.

Haya mambo yanawezakana chini ya serikali ya hovyo.

As usual kwa jamii yetu, huyu waziri poyoyo anajiropokea; ila kwa rungu langu kodi ingelipwa tu na kariakoo kama registered VAT business ni 40,000 chini ya makusanyo tsh 120 billion maana yake sijafanya kazi yangu kamishna wa TRA.

Hakuna mzungu anaetuhujumu kwa upuuzi wetu wa kufanya mambo.

Ifike wakati tukubali 80% ya matatizo yetu ni kutokana na uwezo wetu wa kufanya mambo.
 
Kama laana ni kuwa na ma suv au mavogue ata mm naitaka hiyo laana.
 
Hasa watumishi wa umma isee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…