Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Hawa tunawachekea sana na wanafanya hayo yote, wakijua hakuna wa kufanya lolote. Tutalalamika kwenye mitandao, miaka inaenda na hakuna kinachobadilika.

Watanzania kupanga ni kuchagua, mlipe kodi kuwafanya kundi fulani wawe mabilionea. Au kuchukua hatua cake ya taifa iliwe na wote. Uamuzi uko mikononi mwenu.
 
Nawajuwa baadhi wanaishi pembezoni mwa miji ni balaa
Hao kila nkienda makwao hawapendi niende na mtu,lazima waseme,ebwana ehh njoo pekee yako 😄
Tena uzi huu umenikumbusha,kuna mmoja nataka kumtoa upepo kesho
😄

Ova
 
Huko wanaolipiashwa au kulima barabara waujue Ili wakuu wa Mikoa,wilaya na ma RAS na Das wapite kwa na maVX yalionunuliwa kwa raha na kodi zetu 😡
 
Walichukua laki mbili zangu pale Kwa bibi segerea na ushahidi nnao,,niwataje au nisiwataje, aa ngoja niwapotezee
 
Mnawahonga wenyewe Ili msilipe Kodi stahiki.TRA na Traffic au watu wa mahakama ni kundi Moja.
 
Tume za matokeo ya ukuaguzi wa CAG hutajwa nyuma ya mikamera majibu ya hizo tume nyuma ya pazia
 
INASIKITISHA WALLAH.
 
Point, kipanga ni kuchagua, ila naona sisi ni kama tumeridhika
 
Huyo bb hamna kitu, hajielewi!.
 
Hivi ile report ya CAG iliwahi kufanyiwa kazi, iliwahi kujadiliwa bungeni, iliwahi kutolewa maelezo wananchi wakajua hatma ya kodi zao?

ChoiceVariable bado nakuonyesha tu kuwa we have a very weak administration, very disorganised regime and a very weak presdar..take it or leave it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…