Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Wewe nyumbu,uwe unafuatilia mambo ya serikali badala ya kujikita kwenye umbea na upumbavu mnaoloshana huko ufipa.
 
waziri mwenyewe ana kwambia nenda burundi

Na Rais karuhusu wayeule wake wale pesa ambayo wanaweza kuifikia kutokana na nafasi zao (urefu wa kamva zao).

Kwa Tanzania, kulipa kodi ni sawa na kuibiwa kwa hiari wakati kwa nchi nyingine, kulipa kodi ni kuchangia maendeleo yako, jamii yako na Taifa lako.

Waowanasisitiza tulipe kodi ili wapate pesa ya kuchezea na kufanyia anasa.
 
Kumbe wezi wa TRA ni wachagga?😮
 
Wazir mwenyewe ana timu ya Mpira. Na anatumia takribani 100m to the minimum kila mwezi kuendesha timu. Je, anapata wapi pesa zote hizo?
 
Kwani wao hao takokuru hawana matumbo? Nchi hii jamani mkipata magepu kuleni tu hakuna namna! Huwa nalipongeza sana bro langu nalo lilichotamo pambaff zao!
 
Ni kweli. Ni ujinga, ushamba na upumbavu.
Ukosefu wa exposure pia unachangia.

Ingawa mimi sio tajiri kama wao. Lakin mimi naona kama nimefanikiwa kimaisha kuliko hao wanaoiba mali za umma bila kutoa jasho halali
 
Kuna shangaz yang ni mwalim wa primary mara huko, alikuja dar akanambia nimsimdikize kwa mwanafunz wake aliemfundishaga shule ya msingi, asee kaolewa na kijana mmoja anafanya kaz TRA, aisee lile jumba sijawah kuliona tangu nizaliwe lipo kinyerez ni kufuru.. kuna had gym yenye vifaa vyote.. wakat tunaondoka tukapewa vibunda na hela ya mafuta..nilitaman namm nipate kazi TRA
 
Haujapigwa maswali ....huyu nani umekuja naye

Ova
 

Kumbe wezi wa TRA ni wachagga?😮
Wachaga Magufuli aliwaondoa wote Tra
Tusiwasingizie tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…