MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Wanajiita chawa wa mamaNdiyo hawa wakiiba wanaanza kuimba mama anaupiga mwingi
SawaNi headline ya gazeti la Raia Mwema. Je ni nani huyu mfanyakazi? Hatua gani zimechukuliwa dhidi yake? Je wangapi wana ukwasi huo?
View attachment 3038595
300M na huyo ni mmoja pekee ukipata 15 tu wewe ni tajiri haswaKuna jamaa yangu alikuwa task force.... Jamaa ni tajiri aisee, ukwasi sio wa kawaida. Pata picha mtu ambaye anadeni la kodi la 1bil likikatwa mpaka 200mil atakuwa tayari kulipa kiasi gani πππ
Jamaa wanaitafuna nchi vizuri haswaWanajiita chawa wa mama
Mawaziri wanazo hizo za kutoshaKazipataje ? Hizo pesa ni nyingi sana kuwa nazo in cash
TRA wadada wale na vibwana mdogo vinajenga apartment GOBA kule ma'mae zimetapakaa tu mpaka Salasala Madale huko wanaporomosha Mahekalu tuKazipataje ? Hizo pesa ni nyingi sana kuwa nazo in cash
Inasikitisha sanaJamaa wanaitafuna nchi vizuri haswa
Hakuna kusikitika tumeyataka wenyewe kuachia nchi majangili acha yaibe sisi tubaki kusindikiza na kushinda kwenye makanisa ya kitapeli tukiibiwaInasikitisha sana
People made money wakati wa Magu. Unakuta tajiri kapigwa mkwara wa uhujumu uchumi, anafanya nini? People made serious money. Tena untraceable300M na huyo ni mmoja pekee ukipata 15 tu wewe ni tajiri haswa
chura yeye ndiyo anapagua kupitia kwa AbdulCopy iende kwa Churah Bint Kiziwi pale corridor za Jumba jeupe!
Au nasema uongo Gz?
Soon nchi inageuka kuwa kama Zimbabwe ya enzi ya Mugabe unaenda kununua mkate,Shilling haina thamani, dollar haionekani na watu wamejaza viporo vya pesa majumbn mwao.Sahivi watu wanaiba kupita kiasi
Nchi ya wajinga hii wewe uiba kadri unaweza then sifia mama anaupiga mwingi, nenda kwa Mwamposa katoe ushuhuda wa kitapeliPeople made money wakati wa Magu. Unakuta tajiri kapigwa mkwara wa uhujumu uchumi, anafanya nini? People made serious money. Tena untraceable