Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Kama tunahitaji mabadiliko. Basi mabadiliko ya kweli yanaanza kwa mimi na wewe tuanze kuwafundisha watoto wetu kuanzia ngazi ya familia namna ya kulinda rasilimali. Muda bado upo tusikate tamaa
Yaani mimi mtoto wangu ashindie mlenda huku analipa kodi haya majangili yanazipiga? sifanyi huo upumbavu nikipata chance nitaiba haswa, sitaki ujinga mimi
 
Wewe nitakung'ata sasa hivi mwache rafiki yangu Abdul ale hela za ngumbaru kama nyie
shabhashhhh! Una cha kutufanya basi au unabweka nje ya Fens woo woo woo!
Shiiiiiiiii kelele!
Sijakataa ndiyo maana nasema nikipata sehemu ya kuiba hata kama ni tofali za kujengea darasa la shule nitaziiba na kwenda kuziuza ninakojua
 
People made money wakati wa Magu. Unakuta tajiri kapigwa mkwara wa uhujumu uchumi, anafanya nini? People made serious money. Tena untraceable
Malipo ya serikali yakifanyika kwa cash kama hivi mtu utaachaje kutajirika ? Kipindi cha dhalim nacho watu walijimegea sana
 

Attachments

  • JamiiForums839866055.jpeg
    50.6 KB · Views: 2
  • JamiiForums291438778.jpeg
    67 KB · Views: 3
Kama afisa mmoja tu wa serikali ana uwezo wa kukwapua mabilioni ya fedha na kuyahifadhi nyumbani kwake. Basi nchi hii ina mfumo dhaifu mno wa kiusalama.

Yaani mpaka fedha zote hizo taslimu zinahifadhiwa nyumbani kwa mfanyakazi wa umma bila ya mamlaka za kiusalama kizishtukia!? Kwa vyovyote hili si dili la siku moja. Jamaa alikuwa akifisidi kwa muda mrefu bila ya kuwa na "network" nzuri ya kuzitakatisha.
 
Hii inabidi Waziri wa fedha awachie ngazi haraka sana.

Kidata kadata.
 
Bichwa lako la habari na utumbo wako wa habari haviendani.
 
Inasikitisha sana 🙄🙄
 
Huyo amejulikana, je watumishi mafisadi wasiojulikana ni wangapi? Kumbe hii nchi ni tajiri.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…