Mfanyakazi wa TRA akutwa amehifadhi pesa taslimu Tsh. Bilioni 7 nyumbani

Ngoja tuone Nani atawajibika kwa kujiuzulu mwenyewe au kwa kuwajibishwa !

Au it’s business as usual 😳🤦🏽‍♂️
 
Baba tra, mama tra, mjomba tra, bibi tra, babu tra alafu mnatakaa mtoto akawe fundi bomba.........
 
Mkuu ina maana wewe huwa unaona kabila moja tuu? Mengine hujihusishi? Tunapojadili mambo ya Kitaifa tuache kuingiza au kuchanganya na ukabila au udini, hicho kinakuwa kama kichaka cha kujificha wewe unayefanya halafu unataja watu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…