Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞


Aunt abiria kichwa cha uzi kingetokea hapa...
 
😅😅
Hizi vitu zinafanya nammiss mno Baba Mwamposa wangu, that guy ni mshikaji ile kinoma, ananiitaga 'mwamba wangu' sababu naweza kula tikiti lote mwenyewe..!!
Lakini dada mimi nikikaa mshikaji u tell I’m not romantique.

Baba Mwampoo is a man and half.. tumpe tu maua 🌺🌺

Najua anajua uliamka saa 8 ukala tikiti.. we dada ni mwamba geu
 
Sisi tuliosomaga Uchambuzi wa Fasihi Kidato cha Tatu tunachambua dhima ya Mtoa mada ni kusema kuwa Kitanda sio sehemu pekee ya kupeana Utamu.

Mnaweza kupeana Utamu hata mkiwa Jikoni, eneo la Wazi.

Nakumbuka miaka ile ya Ujana ilikuwa tunaweza kushambulia kutokea Bafuni, Sebuleni, Kwenye Gari, ama Shambani.

Kweli Vijana mna faidi 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…