Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Take time brother nenda taratibu jaza kitu kimoja Hadi kingine.Popote unaposhindwa kupaelewa rudia kusoma tena utaelewa utashangaa asilimia 90 chap Sana.Wizara inayohusika na mfumo wa ajira potal hebu isikie kero za watu juu ya huo mfumo, imekuwa shida kubwa sana kutuma maombi ya kazi kupitia mfumo huo maana huwezi kutuma maombi mpaka ufike asilimia 70% kila ukijaza hazifiki lakini pia huwezi kuondoa vyeti ulivyoviweka kuweka vyengine pia huwezi kufuta account ni shida tu.