Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nina hiyo changamoto huu mwaka wa pili inanisumbua hadi nimekata tamaa kabisaNimeweka vyeti certificate na diploma, nataka kuomba Kwa nafasi ya cheti ila inagoma kwamba nime OVER QUALIFY, nataka kuondoa Cha diploma ila inanigomea. Naomba msaada namna ya kutoboa
Namba zipi mkuu?Piga simu kwenye hizo namba utataja majina yako na utaambiwa emai yako
Lazima wao ndo waondoe hiko cheti wapigie simuNimeweka vyeti certificate na diploma, nataka kuomba Kwa nafasi ya cheti ila inagoma kwamba nime OVER QUALIFY, nataka kuondoa Cha diploma ila inanigomea. Naomba msaada namna ya kutoboa
nimewapigia lisaa lizima wajapokea mpka dakika zimeishaLazima wao ndo waondoe hiko cheti wapigie simu
mnafanyaje jmni mbna mimi inagoma kuchange badomkuu🤝🤝🤝ni kweli aisee hadi utumie application nyingine
Tuma mtu sabasaba au Dodomanimewapigia lisaa lizima wajapokea mpka dakika zimeisha
Sabasaba wap dsm auTuma mtu sabasaba au Dodoma
Kwenye dash board! Piga simu mpaka wapokeeNamba zipi mkuu?
Mtaani kuna wadau wana fanya hiyo kaziLazima wao ndo waondoe hiko cheti wapigie simu
Tupe connection za hao jamaa kiongozi maana changamoto ni kubwa aseeMtaani kuna wadau wana fanya hiyo kazi
Hata Mimi changamoto ni hiyo hiyo wadau tushauriane tunafanyaje vinginevyo fursa zote tutakosaNa mimi nina hiyo changamoto huu mwaka wa pili inanisumbua hadi nimekata tamaa kabisa
watu wameshaona ni fursa wanataka hadi laki ndo wanatoaMtaani kuna wadau wana fanya hiyo kazi
Wapo Kila mtu na bei yake!watu wameshaona ni fursa wanataka hadi laki ndo wanatoa
daaaah aya maisha aseee ndo mana wanaotoboaga kiubishi uwa wana roho mbaya sanaWapo Kila mtu na bei yake!
Wapo wa 20,000/- wapo wa 30,000/- wapo wa 50,000/- ni wewe tu...!
Wapo mikoa tofauti, Mwanza, Dodoma, Dsm nk