paco anthony
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 516
- 831
Nenda steshenal watakupa maelekezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Type tu hapo na usisahau kuisignNauliza hivi barua ni kuandika Kwa mkono au kutype?
preferably kwa mkonoNauliza hivi barua ni kuandika Kwa mkono au kutype?
kuna mtu kajisajili mwaka jana kaweka diploma wakati yeye ni NTA LEVEL 5 sasa anataka kutoa kipengele cha diploma inagoma akifanya editing afanyejeMwenye shida na ajira portal lete changamoto yoyote kama unashindwa kujisajilli au tatizo lolote karibuni.
Karibuni wakuu.
Hukujibu SWALI lake.Nenda steshenal watakupa maelekezo
Hiyo mpaka awapigie simu wao ndo wamfutiekuna mtu kajisajili mwaka jana kaweka diploma wakati yeye ni NTA LEVEL 5 sasa anataka kutoa kipengele cha diploma inagoma akifanya editing afanyeje
Kwenye matatizo wenzako wanakupiga hela af ww ni jobless.daaaah aya maisha aseee ndo mana wanaotoboaga kiubishi uwa wana roho mbaya sana
Ndio mkuu nilitaka niombe ya diplomaKwanini unataka uombe kazi yenye kuhitaji sifa ya Diploma ilihali una Degree?
Kwanini?Ndio mkuu nilitaka niombe ya diploma
Kuna mwingine amekosea tu kuandika jina la degree yaani alichanganya bahati mbaya, ila sasa ndio huwezi kufedit wa la kufuta. Hapo unasema?Kwanini unataka uombe kazi yenye kuhitaji sifa ya Diploma ilihali una Degree?
namba gani?Hiyo mpaka awapigie simu wao ndo wamfutie
Ajira zimekua changamoto sana lo
Namba zao hizo hapo awasiliane nao, awaeleze waifute hiyo qualification ili aje ajaze nyingine iliyo sahihiKuna mwingine amekosea tu kuandika jina la degree yaani alichanganya bahati mbaya, ila sasa ndio huwezi kufedit wa la kufuta. Hapo unasema?
Sasa mkuu wew una degree unataka ukashindane na wenye diploma?Ajira portal imekuja kunyima ajira kwa vijana na si kutoa ajira kama ilivyotarajiwa mwombaji amesoma kuanzia certificate mpaka degree kaweka cv yake pale unahitaji kuomba kazi ya diploma iliyotangazwa
Kufuta cheti cha degree ni changamoto sana
Msaada kwa anayejua kama naweza update hiyo issue kufuta chet cha degree