KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wapigie Simu wameweka Namba pale watakupa utaratibu au wacheck kwenye email hawana longolongo watakupa mbwinu ya kufanya ili ku-upload

Ni Mimi tu ndio naona hivi au? Huyu mboni anaweza ku-update Wewe unakwama wapi?View attachment 3037720
hapa wameweka unaweza update ila ukisha update ukiview unakuta imebaki ile ile ya mwanzo!! tofauti na sehemu nyingine ambazo ukibadilisha vitu vinavadilika
 
Kama ni mtumiaji wa hii website utagundua kwamba kwene academic certificates huwezi kubadilisha vyeti.

Sasa hii siyo fair nataka kunyimwa ajira hivi hivi.
Binafsi nili upload zaman vyeti Og (pdf) sasa maombi ya sasa yanataka viwe certified na mwanasheria.

Na hairuhusu kubadili wala kufuta kama sehemu zingine
Hapo watu wa ICT wa utumishi wanafeli. Hakuna sehemu ambayo inapaswa kuwa more edited kama kwenye attachment ya vyeti vya shule. Maisha ya kishule hubadirika kila baada ya muda, nitashangaa sana kama tunaendelea kuishi kimazoea mpaka sasa despite ya kujigamba tupo kidigitali sasa
 
yaan daah
 
sijui unaelewa unabadili vipi wakat chet cha mwanzo hakitoki??
mkuu Mimi nilishawahii kubadilisha mara kibao changamoto ni kwamba ukienda kuangalia unakuta kipo kile kile Cha mwanzo lkn tayari unakuta umeishabadilisha ukitaka ujue kama umebadilisha tumia device nyingnee kuingilia kwenye ajira Portal,,chukua hata simu nyingnee au PC ingia kwenye akaunti yako utaona cheti kimebadilika tayarii sijuii unanielewaa
 
naona atleast wewe umeongea ebu nijaribu
 
Kama ni mtumiaji wa hii website utagundua kwamba kwene academic certificates huwezi kubadilisha vyeti.

Sasa hii siyo fair nataka kunyimwa ajira hivi hivi.
Binafsi nili upload zaman vyeti Og (pdf) sasa maombi ya sasa yanataka viwe certified na mwanasheria.

Na hairuhusu kubadili wala kufuta kama sehemu zingine
ww ongeza vyeti hivo vilivo sahihi vilivyo na muhuri usijal hata kama vya zaman bado vipo
 
Nimesahau user name na password nafanyaje? Naomba jibu hapa hapa sio PM
 
Back
Top Bottom