KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mwenye shida na ajira portal lete changamoto yoyote kama unashindwa kujisajilli au tatizo lolote karibuni.

Karibuni wakuu.
kuna mtu kajisajili mwaka jana kaweka diploma wakati yeye ni NTA LEVEL 5 sasa anataka kutoa kipengele cha diploma inagoma akifanya editing afanyeje
 
Ajira portal imekuja kunyima ajira kwa vijana na si kutoa ajira kama ilivyotarajiwa mwombaji amesoma kuanzia certificate mpaka degree kaweka cv yake pale unahitaji kuomba kazi ya diploma iliyotangazwa

Kufuta cheti cha degree ni changamoto sana
Msaada kwa anayejua kama naweza update hiyo issue kufuta chet cha degree
 
Kuna mwingine amekosea tu kuandika jina la degree yaani alichanganya bahati mbaya, ila sasa ndio huwezi kufedit wa la kufuta. Hapo unasema?
Namba zao hizo hapo awasiliane nao, awaeleze waifute hiyo qualification ili aje ajaze nyingine iliyo sahihi
IMG-20240710-WA0009.jpg
 
Ajira portal imekuja kunyima ajira kwa vijana na si kutoa ajira kama ilivyotarajiwa mwombaji amesoma kuanzia certificate mpaka degree kaweka cv yake pale unahitaji kuomba kazi ya diploma iliyotangazwa

Kufuta cheti cha degree ni changamoto sana
Msaada kwa anayejua kama naweza update hiyo issue kufuta chet cha degree
Sasa mkuu wew una degree unataka ukashindane na wenye diploma?
Omba kazi ya level yako ukapimwe
 
Eti Kuna sehemu ya kuweka leseni kwenye mfumo Kwa clinical officers ?
 
Eti Kuna sehemu ya kuweka leseni kwenye mfumo Kwa clinical officers?
 
Hivi Kuna sehemu ya kuweka leseni kwenye mfumo Kwa clinical officers na je sehemu gani?
 
Back
Top Bottom