Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Kuna kipindi niliwahi kuwa na hii shida ila Mm nilitaka kufuta diploma afu ibaki form four/six, wakaniuliza hiyo diploma ni yako? Nkajibu ndio wakaniambia bc tulia hapo hapo.Wapigie simu uwaambie wafute qualification ya degree ili ibaki Diploma
Kwahy ht jamaa nae ataulizwa hy diploma ni yake? Atajibu ndio.
Ataulizwa hy degree ni yake? Atajibu ndio.
Bc kazi itakuwa imeisha hvy mana hizo zote n mali yake halali.