TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Changamoto mfumo hauruhusu kubadili taarifa ndicho anacho lalamikaAombe tu hiyo nafasi kwa cheti Diploma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamoto mfumo hauruhusu kubadili taarifa ndicho anacho lalamikaAombe tu hiyo nafasi kwa cheti Diploma
Kwenye hili nawaunga mkono ajira PortalSasa tunawaambia hilo haliwezekani mnabisha si bora tuwaambie mfanye jinsi mnavyotaka..
Utumishi washakataa mtu aliyeanzia Diploma then Degree aanze kutangatanga kwa kila nafasi ya diploma au degree.
Leo ikitokea nafasi ya Diploma kama sasa, uombe kwa Sifa ya Diploma, then kesho ikitokea nafasi ya sifa ya Degree napo uombe kwa kubadili sifa. Hapo itakuwa inawachanganya PSRS maana utakuta maombi ya Diploma bado yanafanyiwa kazi halafu wakuja kukuta una over qualification.
Kama ulishajaza Degree inabaki hivyo hivyo, ndio maana wakazuia kuedit Academic Qualifications.
Kingine, mtu arataka aombe nafasi ya diploma halafu akiipata hiyo nafasi akaanze kutaka categorization ya kuwa degree kwa kupeleka cheti cha degree wakati huo huo mwajiri alitaka mtu mwenye Diploma, huo ni usumbufu.
Kama mtu uliamua kusoma hadi Degree ingali huna ajira, pambana na degree yako hiyo kutafuta ajira.
Categorization inakuwa rahisi endapo mwajiri kakuendeleza kimasoma kutokea Diploma hadi degree na kuendelea.
Amen Wajuvi wampe mwongozo lo
Ukipata msaada nitag MkuuNilifungua account ajira portal siku za nyuma,
Nilipoteza simu na emails sikuwa nimenukuu wala siiijui.
Na sahivi siwezi login sina emails hiyo na sikumbuki password 🔑
Nafanje nipate Access ya account yangu
Msaada jamani
Nina changamoto kama yako na nikipiga simu hawapokei wapo busy sana hadi nashindwa nifanyeje...msaada pleaseeUkipata msaada nitag Mkuu
Mkuu
Kwenye simu unajisajiri vizuri tuSijui kwanini kwenye simu uwezi jisajiri?
Ukishaajiriwa haukatazwi kujiendelezaKumbe ni rahisi hivyo, afanye hivyo.
NB: Kumbuka mwajiri anataka mwenye Diploma ndio maana hajatangaza sifa ya Degree.
EditKwanini sasa nataka niweke diploma niitoe hiyo degree yao hawataki mfumo huu ni changamoto sana
Mkuu mbona uki edit ukidown na ku save bado unaona jina la taasisi bado lipo vile vile na halibadilikiEdit
Na sio kuondoa, Juzi nimeiona sekrerarieti ya ajira wametolea ufafanuzi
Hujaielewa komenti yangu, pia hujafuatisha convo ya nyuma.Ukishaajiriwa haukatazwi kujiendeleza
Kuna watu wameanza na certificate had PhD wakiwa kazini
Ndugu, kama CV yako inaishia hapo unatakaje ifike 100?Ww unaweza nikupe hy kazi ufanye halafu uone km inawezekana?
Shida sio kuedit taarifa nataka kuondoa kabisa hicho kisiwepo wewe unaweza maana ukiona mtu anasema ujue amejaribu
Nenda jukwaa la ajira utasaidiwa shida yakoWw unaweza nikupe hy kazi ufanye halafu uone km inawezekana?
Shida sio kuedit taarifa nataka kuondoa kabisa hicho kisiwepo wewe unaweza maana ukiona mtu anasema ujue amejaribu
Ajira karibu zote watu wanapatia ajira portal! Wewe unaishi wapi?Nani alishawahi kupata ajira ya maana kupitia ajira portal! Ni utapeli mtupu!
Wewe uwezi omba certificate una takiwa kuomba DiplomaNimeweka vyeti certificate na diploma, nataka kuomba Kwa nafasi ya cheti ila inagoma kwamba nime OVER QUALIFY, nataka kuondoa Cha diploma ila inanigomea. Naomba msaada namna ya kutoboa
Watu wengi wanapata ajira kila leo kupitia ajira portal …wewe una level ya degree tayari kwa hiyo omba degreeAjira portal imekuja kunyima ajira kwa vijana na si kutoa ajira kama ilivyotarajiwa mwombaji amesoma kuanzia certificate mpaka degree kaweka cv yake pale unahitaji kuomba kazi ya diploma iliyotangazwa
Kufuta cheti cha degree ni changamoto sana
Msaada kwa anayejua kama naweza update hiyo issue kufuta chet cha degree
Uwezi kutoa cheti hichoKwanini sasa nataka niweke diploma niitoe hiyo degree yao hawataki mfumo huu ni changamoto sana
Ingia page ya sekrerarieti Facebook,wametoa NAMBA za simu kuwasiliana ikiwa unapata shidaMkuu mbona uki edit ukidown na ku save bado unaona jina la taasisi bado lipo vile vile na halibadiliki
Mkuu mbona uki edit ukidown na ku save bado unaona jina la taasisi bado lipo vile vile na halibadiliki
Akiajiriwa kwa diploma atakaa mwak Mmoja athibitishwe kazini Kisha anawasilisha Ile degree kwa mwajiri Ili Ku upgradeHujaielewa komenti yangu, pia hujafuatisha convo ya nyuma.
Huyo jamaa yeye ana Degree ila anataka kuomba nafasi ya Diploma. Sasa akiajiriwa kwa Diploma akajiendeleze kwenye degree tena? au itakuwa degree tofauti na ya mwanzo