KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ni kweli mkuu mara ya tano naona diploma lkn tunajifunza kwa kukosea madg ni kuwaambia wasiweke bachelor zao kwanza waanze na six au diploma

Hakika , Hata hapa nimeona ajira nyingi manispaa wanataka diploma na certificate tu.

Kiufupi serikali sijui Ina mpango gani na degree.
 
Mkuu serikali kwa kawaida wanaogopa gharama za mtu wa bachelor lkn hata hivyo ndio maana hata watendaji wengi hawana utaalam wa kutosha kuendesha mambo ya jumuiya

Nishawai kwenda ofisi fulani mwaka 2016 mtandao wa internet ukawa unasumbua huyo IT baada pukurushani zote bado akakwama

Nilikua na mdogo wangu kasoma VETA mambo ya ufundi ufundi wa computer na software dg alikua ni mcheshi kwa kuwa tulikua na haraka akamuuliza It bila uwoga akasema nini hasa kinasumbua dg akaambiwa

Chap dg akarekebisha mambo yakawa yanaenda ila hapo anaendesha vifaa vya IT ni sijui ni certificate holder
 
Ndo Elimu yetu mkuu watu wa VETA huwa wanafanya vizuri kuwazidi degree holder wengi.
 
Mkuu pole Sana, ila waliweka hivyo ili iwe kikwazo kwa wanaomba ajira.
Ajira ni haki kikatiba , mtanzania ana haki ya kufanya Kazi na kumuingizia kipato bila kuvunja Sheria za Nchi.

Sasa ukiwauliza psrs Kwa nini wamefanya hivyo , wametumia Sheria gani , kumzua mtanzania mwenye degree na diploma, ashindwe kuomba Kazi za diploma ,
Utangundua ni roho mbaya Tu, za viongozi wa TZ,

Psrs walitakiwa washitakiwe Kwa kuvunja Sheria, kwa kuwanyima haki wa Tanzania ya kupata Kazi wanayoitaka ili kujiingizia kipato
hawana makosa mbona
nafasi inahigaji mwenye diploma acha diploma waombe ikija degree na wenye nazo wataomba

unaeza kuta taasisi haina hela ya kuwalipa degree holder au unataka mkalale njaa huko??

kingine utaratibu mambo yanaenda kwa utaratibu mkuu fuata taratibu zao utaenjoy
 
Mkuu serikali kwa kawaida wanaogopa gharama za mtu wa bachelor lkn hata hivyo ndio maana hata watendaji wengi hawana utaalam wa kutosha kuendesha mambo ya jumuiya

Nishawai kwenda ofisi fulani mwaka 2016 mtandao wa internet ukawa unasumbua huyo IT baada pukurushani zote bado akakwama

Nilikua na mdogo wangu kasoma VETA mambo ya ufundi ufundi wa computer na software dg alikua ni mcheshi kwa kuwa tulikua na haraka akamuuliza It bila uwoga akasema nini hasa kinasumbua dg akaambiwa

Chap dg akarekebisha mambo yakawa yanaenda ila hapo anaendesha vifaa vya IT ni sijui ni certificate holder
Tatizo la degree maneno mengi ila vitendo viko diploma
 
Huwez juu yake kuna degree
Sasa tunawaambia hilo haliwezekani mnabisha si bora tuwaambie mfanye jinsi mnavyotaka..

Utumishi washakataa mtu aliyeanzia Diploma then Degree aanze kutangatanga kwa kila nafasi ya diploma au degree.

Leo ikitokea nafasi ya Diploma kama sasa, uombe kwa Sifa ya Diploma, then kesho ikitokea nafasi ya sifa ya Degree napo uombe kwa kubadili sifa. Hapo itakuwa inawachanganya PSRS maana utakuta maombi ya Diploma bado yanafanyiwa kazi halafu wakuja kukuta una over qualification.

Kama ulishajaza Degree inabaki hivyo hivyo, ndio maana wakazuia kuedit Academic Qualifications.

Kingine, mtu arataka aombe nafasi ya diploma halafu akiipata hiyo nafasi akaanze kutaka categorization ya kuwa degree kwa kupeleka cheti cha degree wakati huo huo mwajiri alitaka mtu mwenye Diploma, huo ni usumbufu.

Kama mtu uliamua kusoma hadi Degree ingali huna ajira, pambana na degree yako hiyo kutafuta ajira.

Categorization inakuwa rahisi endapo mwajiri kakuendeleza kimasoma kutokea Diploma hadi degree na kuendelea.
 
Back
Top Bottom