KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nimeweka vyeti certificate na diploma, nataka kuomba Kwa nafasi ya cheti ila inagoma kwamba nime OVER QUALIFY, nataka kuondoa Cha diploma ila inanigomea. Naomba msaada namna ya kutoboa
 
Changamoto yangu ni nimebadili majina yote matatu kuanzia vyeti vya chuo, form four la saba na cha kuzaliwa kinasoma majina ya zamani, ila vingine majina mapya, naomba kujua namna ya kuviweka pamoja na deed pol documents ninazo
 
Nimeweka vyeti certificate na diploma, nataka kuomba Kwa nafasi ya cheti ila inagoma kwamba nime OVER QUALIFY, nataka kuondoa Cha diploma ila inanigomea. Naomba msaada namna ya kutoboa
Na mimi nina hiyo changamoto huu mwaka wa pili inanisumbua hadi nimekata tamaa kabisa
 
Nimeweka vyeti certificate na diploma, nataka kuomba Kwa nafasi ya cheti ila inagoma kwamba nime OVER QUALIFY, nataka kuondoa Cha diploma ila inanigomea. Naomba msaada namna ya kutoboa
Lazima wao ndo waondoe hiko cheti wapigie simu
 
Happ kwenye verification certificate tunaweka nini?
Screenshot_20240710-201530.jpg
 
Back
Top Bottom