Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Take time brother nenda taratibu jaza kitu kimoja Hadi kingine.Popote unaposhindwa kupaelewa rudia kusoma tena utaelewa utashangaa asilimia 90 chap Sana.Wizara inayohusika na mfumo wa ajira potal hebu isikie kero za watu juu ya huo mfumo, imekuwa shida kubwa sana kutuma maombi ya kazi kupitia mfumo huo maana huwezi kutuma maombi mpaka ufike asilimia 70% kila ukijaza hazifiki lakini pia huwezi kuondoa vyeti ulivyoviweka kuweka vyengine pia huwezi kufuta account ni shida tu.
Ndugu zangu,email inayohitajika iwekwe ili kujisajili ajira portal ni ya namna gan? Mimi kila nikiweka niliyocreate kwa my own simu wanakataa wanadai email exist.au kujisajili kwa simu haiwezekani hadi kwenda internet cafe?
Dah jf wachawi hawaishi🤣Hapo mchakato ili uendelee ni umwambie dogo ajisajili mwenyewe.
Inasemekana ndo chap chapNani alishawahi kupata ajira ya maana kupitia ajira portal! Ni utapeli mtupu!
Maanake hiyo email imeishatumika fungulia email nyingineWakuu, nahitaji nimsajili mdogo wangu ajira portal. Sasa kila nikitaka kufanya kwa simu nikiweka email inaandika email exist hivyo inagoma kuendelea na mchakato,vp nitengeneze email mpya au huu mchakato ni mpaka kutumia computer?
Yeah nimefungua mpya imekubali na wamenijibu email imepokelewaMaanake hiyo email imeishatumika fungulia email nyingine
Safi nenda kwenye email activate uendelee! Usisahau paswad!Yeah nimefungua mpya imekubali na wamenijibu email imepokelewa
Wewe jamaa unaishi dunia ipiNani alishawahi kupata ajira ya maana kupitia ajira portal! Ni utapeli mtupu!
Inaonesha hiyo email ilishatumika. Pengine mdogo wako alishajisajili.Wakuu, nahitaji nimsajili mdogo wangu ajira portal. Sasa kila nikitaka kufanya kwa simu nikiweka email inaandika email exist hivyo inagoma kuendelea na mchakato,vp nitengeneze email mpya au huu mchakato ni mpaka kutumia computer?