KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kwenye hili nawaunga mkono ajira Portal
 
Nilifungua account ajira portal siku za nyuma,

Nilipoteza simu na emails sikuwa nimenukuu wala siiijui.

Na sahivi siwezi login sina emails hiyo na sikumbuki password 🔑

Nafanje nipate Access ya account yangu

Msaada jamani
Ukipata msaada nitag Mkuu
Mkuu
 
Kumbe ni rahisi hivyo, afanye hivyo.

NB: Kumbuka mwajiri anataka mwenye Diploma ndio maana hajatangaza sifa ya Degree.
Ukishaajiriwa haukatazwi kujiendeleza
Kuna watu wameanza na certificate had PhD wakiwa kazini
 
Ukishaajiriwa haukatazwi kujiendeleza
Kuna watu wameanza na certificate had PhD wakiwa kazini
Hujaielewa komenti yangu, pia hujafuatisha convo ya nyuma.

Huyo jamaa yeye ana Degree ila anataka kuomba nafasi ya Diploma. Sasa akiajiriwa kwa Diploma akajiendeleze kwenye degree tena? au itakuwa degree tofauti na ya mwanzo
 
Ww unaweza nikupe hy kazi ufanye halafu uone km inawezekana?
Shida sio kuedit taarifa nataka kuondoa kabisa hicho kisiwepo wewe unaweza maana ukiona mtu anasema ujue amejaribu
Ndugu, kama CV yako inaishia hapo unatakaje ifike 100?
Kuna watu wana 100%, 95%.
 
Ww unaweza nikupe hy kazi ufanye halafu uone km inawezekana?
Shida sio kuedit taarifa nataka kuondoa kabisa hicho kisiwepo wewe unaweza maana ukiona mtu anasema ujue amejaribu
Nenda jukwaa la ajira utasaidiwa shida yako
 
Nimeweka vyeti certificate na diploma, nataka kuomba Kwa nafasi ya cheti ila inagoma kwamba nime OVER QUALIFY, nataka kuondoa Cha diploma ila inanigomea. Naomba msaada namna ya kutoboa
Wewe uwezi omba certificate una takiwa kuomba Diploma
 
Watu wengi wanapata ajira kila leo kupitia ajira portal …wewe una level ya degree tayari kwa hiyo omba degree
 
Hujaielewa komenti yangu, pia hujafuatisha convo ya nyuma.

Huyo jamaa yeye ana Degree ila anataka kuomba nafasi ya Diploma. Sasa akiajiriwa kwa Diploma akajiendeleze kwenye degree tena? au itakuwa degree tofauti na ya mwanzo
Akiajiriwa kwa diploma atakaa mwak Mmoja athibitishwe kazini Kisha anawasilisha Ile degree kwa mwajiri Ili Ku upgrade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…