Mfumo wa kukata tiketi za SGR online uko chini (haufanyi kazi) kwa zaidi ya saa 20 sasa

Nuel27

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2026
Posts
461
Reaction score
915
Najaribu kukata tiketi ya treni ya SGR lakini tangia jana usiku mfumo haufanyi kazi ,nilitegemea nikiamka nitakuta mfumo umerekebishwa ila cha ajabu mpaka wakati huu hali bado ni ile ile na TRC hawajatoa tamko lolote mpaka sasa.

Hili shirika linafikirisha sana kuhusu uendeshaji wake 🚮
 
Angalia device yako.
 
Hilo shirika lisipobinafsishwa lina maisha mafupi mno!. Wafanyabiashara wa biashara ya usafirishaji wanapambana usiku na mchana kuhakikisha wanaua hiyo SGR kwa lengo la kurejesha abiria na mizigo kama ilivyokuwa awali kabla ya mradi wa SGR kuanza kufanya kazi
 
Labda itakuwa hujuma, wahuni wanaihujumu SGR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…