Mfumo wa kukata tiketi za SGR online uko chini (haufanyi kazi) kwa zaidi ya saa 20 sasa

Mfumo wa kukata tiketi za SGR online uko chini (haufanyi kazi) kwa zaidi ya saa 20 sasa

View attachment 3697574Najaribu kukata tiketi ya treni ya SGR lakini tangia jana usiku mfumo haufanyi kazi ,nilitegemea nikiamka nitakuta mfumo umerekebishwa ila cha ajabu mpaka wakati huu hali bado ni ile ile na TRC hawajatoa tamko lolote mpaka sasa.

Hili shirika linafikirisha sana kuhusu uendeshaji wake 🚮
Kula Shabib tambaa unasave hela na muda
 
Sasa masaa 10 angeshafika,ye amesubiri mtandao ufanye kazi SGR masaa 20 + muda wa safari itakua 28hrs.
Yupi Boga hapo
 
Sasa masaa 10 angeshafika,ye amesubiri mtandao ufanye kazi SGR masaa 20 + muda wa safari itakua 28hrs.
Yupi Boga hapo
PLan yangu ya safari ni tarehe 26 mkuu halafu ni all about preferences tumia lugha nzuri mkuu
 
Unachotakiwa kufanya ni kusajili akaunti yako kabla ya kukata tiketi
 
Back
Top Bottom