Mfumo wa LATRA haufanyi kazi, wasafirishaji washindwa kupata huduma kwa siku kadhaa

Mifumo mingi ilitengenezwa haraka haraka bila kufuata misingi ya usanifu wa mifumo ya Software.

Pia mifumo mingi imetengenezwa na vijana walio toka vyuoni ambao walikuwa hawana uzoefu, wa kutengeneza mifumo mikubwa.

Mingi ya mifumo hii inahitaji kufanyiwa usanifu upya na kutengenezwa, upya ili kuendana na growth ya data na users.
Hapo inabidi tuwaulize maboss wa eGA
 
Acha uongo sio kweli mbona nimefanya maombi mchana wa leo na iko poa kabisa
Kama unakwama fika ofisini kwao watakusaidia
Wanao maafisa ambao wanaelekeza watu ikitokea mteja hajaujua mfumo vizuri
 
We boya. Hii post nimeandika muda gani? Je ni kweli asubuhi, jana , juzi na siku za nyuma ulikuwa unafanya kazi?

Huenda wamerekebisha baada ya uzi huu. Na sina hakika usemayo au wewe ni mmoja wao
 
Acha uongo sio kweli mbona nimefanya maombi mchana wa leo na iko poa kabisa
Kama unakwama fika ofisini kwao watakusaidia
Wanao maafisa ambao wanaelekeza watu ikitokea mteja hajaujua mfumo vizuri
This is just now

Screenshot_20210529-230612_Chrome.jpg
 
Mifumo mingi ilitengenezwa haraka haraka bila kufuata misingi ya usanifu wa mifumo ya Software.

Pia mifumo mingi imetengenezwa na vijana walio toka vyuoni ambao walikuwa hawana uzoefu, wa kutengeneza mifumo mikubwa.

Mingi ya mifumo hii inahitaji kufanyiwa usanifu upya na kutengenezwa, upya ili kuendana na growth ya data na users.
Point
 
Sio kweli. Mifumo mingi imenunuliwa nje na kuwa customized. Hii failure sio ya bahati mbaya kuna mkakati ili watu warudi Analogy.
Hatuna wataalamu wazuri wa IT
Hii mifumo inahitaji updates za mara kwa mara na kuna wakati inataka utaaalamu wa ziada .
 
Sasa jiwe anahusika vp na mifumo ya IT?
Yeye mwenyewe kama alikuwa mtume,mbona ametuachia kimeo Cha ATCL,wasiojurikana,?mi nafikiri alikuwa mtume wa shetsni
Tra mifumo ya IT inasumbua toka hata magu hajawa rais,,
 
Unisaidie wewe Kama Nani ?

Kama TASAC wenyewe wameshindwa ije kuwa wewe
 
Hujanielewa ,na hujajibu hoja yangu.Sema ni mfumo gani unasumbua ili usaidiwe???.So far hakuna mfumo unao sumbua pale TASAC.Kama umekutana na changamoto yoyote sema usaidiwe.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Unisaidie wewe Kama Nani ?

Kama TASAC wenyewe wameshindwa ije kuwa wewe
 
Mifumo mingi ilitengenezwa haraka haraka bila kufuata misingi ya usanifu wa mifumo ya Software.

Pia mifumo mingi imetengenezwa na vijana walio toka vyuoni ambao walikuwa hawana uzoefu, wa kutengeneza mifumo mikubwa.

Mingi ya mifumo hii inahitaji kufanyiwa usanifu upya na kutengenezwa, upya ili kuendana na growth ya data na users.
Muogope Mungu wako wewe 😭😭😭
 
Kwa nini sasa? Why now? Kila mfumo wa serikali unafeli?
 
Kwa uhalisia mfumo huu haujafeli, ila mifumo yote iwe ya serikali au binafsi hutokea kupata hitilafu za mara chache. Kwa sababu hizo ndomana wataalamu wa TEHAMA wapo kwa kila mfumo na wanatatua tatizo linapotokea.

Kwa mfano huu mfumo wa LATRA kwa sasa tunautumia na unafanya kazi vzr tu.

Lakini tumeshuhudia hata kampuni kubwa za mitandao ya simu zimekuwa zikipata hitilafu za mifumo yao na wanazitatua.
 
Back
Top Bottom