USA ni matatizo ya Trump mwenyewe sio majimbo UBAGUZI,Nigeria udini/kabila Kenya sio majimbo kimsingi ila tunafanana nao ila wao huwachagua wakuu wa mikoa husika lakini mapato yako centralised KRA, kila nchi ina matatizo yake isipokuwa uoga wa CCM sio majimbo bali wanamhitaji sana Rais mfalme ili ailinde CCM isife, iko wazi kuwa ili CCM iishi ni lazima ikae kwenye koti la serikali.Hakuna kitu kama hicho tena utakuta wana matatizo makubwa tu , angalia Nigeria, Kenya , USA ya Trump n.k
Hapo penye rangi si sawa. Siyo mapato yote yatakayobaki Dar. Serikali kuu itakuwa pia inakusanya kiasi fulani cha pesa kutoka majimboni na hizi fedha zitaendesha serikali kuu na pia kupelekwa kule ambapo kipato cha serikali ni kidogo. Kumbuka pia Japan hawana rasilimali za kuzungumzia lakini wanavuna akili zao. Ushindani kati ya jimbo na jimbo utakuwepo na upuuzi wa kusema hamkunipigia kura hivyo hamtapata maendeleo utakufa.Ila unaelewa kuwa Dar ndio kunatoa kodi kubwa kwa serikali - si ndio? Maana Viwanda vikubwa viko Dar (Pwani itafuatia soon), Bandari kubwa iko Dar, Airport kubwa iko Dar, na watu wengi kutoka mikoa mingine mingi wanaishi Dar. Hivyo sera za Majimbo zikianza; pesa zilizokuwa zikipatikana Dar na kugawawiwa ili kuleta maendeleo ya kile kijiji chako cha Lumonge; hazitopatikana tena. Dar itaneemeka zaidi; maana mapato yote yatabaki hapo. Itabidi jimbo lako liangalie jinsi ya kupata pesa za maendeleo kivyakevyake. Labda kama jimbo lako litakuwa maeneo yenye dhahabu (hapo mtaula); utalii (mtaula pia) ikiwa jimbo lako litakuwa kwenye kilimo (haswa Mihogo; Ufuta; Mbogamboga siju) - mtaisoma namba. Labda kama mtauza hayo mazao mara 300% ya bei ya sasa.
Unasema nini kuhusu Vatican! Hakuna uhalifu? Tuache kusali kwa sababu chimbuko la kanisa linawahalifu? Fsida ni kibwa kuliko wao unao wasema.Nigeria rushwa imejaa wakati majimbo kila kona
Hiyo ni kitu chako tofauti - sio kitu ambacho ana-advocate mmoja wa Wagombea. Mgombea yuko very clear - kila jimbo litakusanya mapato yake - na kuamua nini cha kufanya. Na kila jimbo wanachozalisha; watamua wao wakauze wapi. Sasa kama pesa zitapelekwa wenye majimbo mengine - kuna tofauti gani na mfumo wa sasa?Hapo penye rangi si sawa. Siyo mapato yote yatakayobaki Dar. Serikali kuu itakuwa pia inakusanya kiasi fulani cha pesa kutoka majimboni na hizi fedha zitaendesha serikali kuu na pia kupelekwa kule ambapo kipato cha serikali ni kidogo. Kumbuka pia Japan hawana rasilimali za kuzungumzia lakini wanavuna akili zao. Ushindani kati ya jimbo na jimbo utakuwepo na upuuzi wa kusema hamkunipigia kura hivyo hamtapata maendeleo utakufa.
Mikoa ipo ila haina nguvu kama majimbo.Majimbo ni sawa kama mikoa hii hii itageuka majimbo. Sio kufanya majimbo Tisa kama ya ukoloni..
Mikoa ipo ila haina nguvu kama majimbo.
Hata viongozi wa majimbo watapigiwa kura na wananchi sio sawa na wakuu wa mikoa, wakurugenzi, DAS, RAS wanaoteuliwa na rais.
Issue ni kiasi gani kinapelekwa wapi na maamuzi ya kutumia yanahusu nini. Pia accountability chini ya majimbo ni kwa wapiga kura na sio kwa raisi. Msikilize Lissu kwa umakini utaelewa anasema nini.Hiyo ni kitu chako tofauti - sio kitu ambacho ana-advocate mmoja wa Wagombea. Mgombea yuko very clear - kila jimbo litakusanya mapato yake - na kuamua nini cha kufanya. Na kila jimbo wanachozalisha; watamua wao wakauze wapi. Sasa kama pesa zitapelekwa wenye majimbo mengine - kuna tofauti gani na mfumo wa sasa?
Nigeria is one of rich and developed country because of oil , iliyo wawezesha kuwa na vyuo vingi na kuwaelimisha watu was, na waliokwenda nje waka more exposed etc na sio suala majimboMajimbo kujitoa ondoa shaka, ni uhaini. Nyerere aliunga mkono Biafra kujitoa Nigeria lakini ilishindikana, Gowon aliwatuiza.
Majimbo saba ya marekani kusini yalijaribu kujitoa USA ilishindikana, Lincoln aliwatuliza.
Leo hii tizama Nigeria inaongoza kwa uchumi Africa, Marekani inaongoza kwa uchumi duniani.
Sisi miaka 55 ya mikoa maadui bado ni walewale watatu.
Ulishafatilia wanavyo ibiana?Actually twende kama Kenya wana counties ..
Hizo nchi ndio zakutolea mfano? Wapumbavu nyieMajimbo au mikoa si lolote kama huna taasisi imara. Kwenye hiyo clip Lissu katolea nchi zenye majimbo zingine zina hali mbaya kuliko TZ yenye mikoa. Nchi kama Congo, Zambia, Msumbiji zina majimbo ila zinapumulia mpira.
majimbo anayosema Lissu ni sawa kabisa na yale ya Mkoloni kukiwa na tofauti ndogo sana. Kwenye majimbo ya Mkoloni kulikuwa na temi nyingi sana kila temi ikiwa inaongoza kabila fulani, ila mkuu wa jimbo alikuwa na mteule wa Gavana. Lissu anasema kuwa kila jimbo litatajitawala lenyewe kutafuta mkuu wa jimbo, ukuu wa kata na kadhalika. Weakness kubwa ya proposal ya Lissu kuhusu mfumo huo (sina uhakika kama anataka kuwa rais wa nchi ya aina hiyo) ni kuwa ukishafanya hivyo unarudishia ukabila na utemi kama mwanzo kabisa kule tulikotoka; inawezekana bsi mara moja, ile destination itakuwa hiyo.Majimbo ni sawa kama mikoa hii hii itageuka majimbo. Sio kufanya majimbo Tisa kama ya ukoloni..
Hakuna nchi ambayo accountability iko kwa wananchi moja kwa moja. Accountability ni lazima iwe kwa watu wachache waliochaguliwa kwa niaba ya wananchi. Hapo Mkuu tusidanganyane. Maneno anayotoa Mgombea ni tofauti na unayotoa wewe - unaya-modify. Ndio maana tunataka mambo yawe kwenye ilani . Weka ukurasa wa hiyo ilani inayoelekeza hapa JF.Issue ni kiasi gani kinapelekwa wapi na maamuzi ya kutumia yanahusu nini. Pia accountability chini ya majimbo ni kwa wapiga kura na sio kwa raisi. Msikilize Lissu kwa umakini utaelewa anasema nini.
Kama tunamchagua gavana kwa kura na tunauwezo wa kumtoa akifurunda-hiyo siyo accountability kwa wananchi? Ilani hauwezi kuwa na details za jinsi majimbo yatakavyo operate, lakini yote niliyosema kwa mfano ndio yale Lissu anaongelea.Hakuna nchi ambayo accountability iko kwa wananchi moja kwa moja. Accountability ni lazima iwe kwa watu wachache waliochaguliwa kwa niaba ya wananchi. Hapo Mkuu tusidanganyane. Maneno anayotoa Mgombea ni tofauti na unayotoa wewe - unaya-modify. Ndio maana tunataka mambo yawe kwenye ilani . Weka ukurasa wa hiyo ilani inayoelekeza hapa JF.