Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Siku ulizozitumia madrasa baba yako angekupeleka upate elimudunia usingeleta kituko hiki.Sijui kama ilishawahi kujadiliwa humu lakini nimekuwa najiuliza sana na kukosa majibu, kwanini mfumo wa masaa wa Afrika Mashariki upo tofauti na sehemu zingine duniani? Sehemu zote siku inaanza saa 6 (0000) usiku lakini kwetu inaanza saa 1 (0700) asubuhi. Kuna sababu ya hii tofauti mahali?
Na tulipatia wapi huu mfumo na kwa nini? Tujiulize wanabodi na tunafaidika nini au tunapata hasara gani kwa hii? Karibuni kwa tafakuri.
Wala usijali kama babako alikupeleka inatosha, hunijui sikujui na nishaoa kitambo sanaSiku ulizozitumia madrasa baba yako angekupeleka upate elimudunia usingeleta kituko hiki.
In swahili a day is dvided into 2 parts, each part having 12 hours. From morning to night - saa moja hadi saa 12 and night to morning, saa moja hadi saa 12.Sijui kama ilishawahi kujadiliwa humu lakini nimekuwa najiuliza sana na kukosa majibu, kwanini mfumo wa masaa wa Afrika Mashariki upo tofauti na sehemu zingine duniani? Sehemu zote siku inaanza saa 6 (0000) usiku lakini kwetu inaanza saa 1 (0700) asubuhi. Kuna sababu ya hii tofauti mahali?
Na tulipatia wapi huu mfumo na kwa nini? Tujiulize wanabodi na tunafaidika nini au tunapata hasara gani kwa hii? Karibuni kwa tafakuri.
Huu ni ukilaza wa kimahesabu. Namba line ina anza na 0. Ikienda hadi 1 ndipo inatimia moja. Saa moja ina dakika 60, au sekunde 60x60=3,600. Kutokana na Ukweli kuwa sekunde 60 ni sawa na dakika mojaSijui kama ilishawahi kujadiliwa humu lakini nimekuwa najiuliza sana na kukosa majibu, kwanini mfumo wa masaa wa Afrika Mashariki upo tofauti na sehemu zingine duniani? Sehemu zote siku inaanza saa 6 (0000) usiku lakini kwetu inaanza saa 1 (0700) asubuhi. Kuna sababu ya hii tofauti mahali?
Na tulipatia wapi huu mfumo na kwa nini? Tujiulize wanabodi na tunafaidika nini au tunapata hasara gani kwa hii? Karibuni kwa tafakuri.
Sawa nanjilinji japo hukuwa na sababu ya "name calling" kama unajua wewe mahesabu inatosha! Hatukzaliwa tufanane, we jibu km unataka then tembeaHuu ni ukilaza wa kimahesabu. Namba line ina anza na 0. Ikienda hadi 1 ndipo inatimia moja. Saa moja ina dakika 60, au sekunde 60x60=3,600. Kutokana na Ukweli kuwa sekunde 60 ni sawa na dakika moja
Kiislam siku kamili ina nusu mbili, nusu moja ni usiku na nusu moja ni mchana (night and day), nusu ya usiku na ndiyo mwsnzo wa siku, huanzia jua linapozama, ndipo unapoanza usiku wa siku hiyo na jua Linapochomoza alfajiri ndipo inapoanza mchana wa siku hiyo.Sijui kama ilishawahi kujadiliwa humu lakini nimekuwa najiuliza sana na kukosa majibu, kwanini mfumo wa masaa wa Afrika Mashariki upo tofauti na sehemu zingine duniani? Sehemu zote siku inaanza saa 6 (0000) usiku lakini kwetu inaanza saa 1 (0700) asubuhi. Kuna sababu ya hii tofauti mahali?
Na tulipatia wapi huu mfumo na kwa nini? Tujiulize wanabodi na tunafaidika nini au tunapata hasara gani kwa hii? Karibuni kwa tafakuri.
Sikusema wewe ni kilaza. Nimesema huu ni ukilaza wa kimahesabu! Angaza tofautiSawa nanjilinji japo hukuwa na sababu ya "name calling" kama unajua wewe mahesabu inatosha! Hatukzaliwa tufanane, we jibu km unataka then tembea
Kiislam siku kamili ina nusu mbili, nusu moja ni usiku na nusu moja ni mchana (night and day), nusu ya usiku na ndiyo mwsnzo wa siku, huanzia jua linapozama, ndipo unapoanza usiku wa siku hiyo na jua Linapochomoza alfajiri ndipo inapoanza mchana wa siku hiyo.
Kwa hiyo siku huanzia baada ya magharibi na huishia kabla ya magharibi.
Yupo sawa kiaina fulani, yeye kafata namba 1 inaanzia asubuhi lakini kasahau kuwa kuna moja nyingine usiku.Izi ni hangover au
Peace...Sikusema wewe ni kilaza. Nimesema huu ni ukilaza wa kimahesabu! Angaza tofauti
Hizo tarehe za kizungu (Gregorian) zinatofautiana na tarehe za asili za Afrika Mashariki (Hijr).Kwa nini tunachange tarehe usiku wa manane na tunaanza kuhesabu masaa asubuhi sasa?
kikawaida Kama ni during the day utaandika 12:00 noon na si vinginevyo na during night utaandika 12:00 midnight.Nimekwambia kuna options 2 unachagua twelve au MN
Hebu agiza soda hapo ulipoBabylonians - sunrise to sunrise
Greeks - sunset to sunset
Romans - midnight to midnight
Jews - sunrise to sunrise
Swahili - sunrise to sunrise
English - midnight to midnight
Islam - sunset to sunset
Hueleweki ahsante kwa mchango wako thoSisi tuna akili zaidi kwa swala hili. Sio siku inaanza asubuhi eti unadai saa 7!
Sababu kuu ni kuwa upande wetu (ikweta), tuna takriban masaa 12 ya mwanga na 12 ya giza, bila kubadilika, kwa mwaka mzima. Hivyo kutumia kigezo cha mwanga, inatabirika kirahisi zaidi, siku huanza jua likichomoza (saa moja asubuhi) na huisha likizama (saa 12 jioni).Sijui kama ilishawahi kujadiliwa humu lakini nimekuwa najiuliza sana na kukosa majibu, kwanini mfumo wa masaa wa Afrika Mashariki upo tofauti na sehemu zingine duniani? Sehemu zote siku inaanza saa 6 (0000) usiku lakini kwetu inaanza saa 1 (0700) asubuhi. Kuna sababu ya hii tofauti mahali?
Na tulipatia wapi huu mfumo na kwa nini? Tujiulize wanabodi na tunafaidika nini au tunapata hasara gani kwa hii? Karibuni kwa tafakuri.
Na usiku unaanza saa moja usiku.Sisi tuna akili zaidi kwa swala hili. Sio siku inaanza asubuhi eti unadai saa 7!
Sababu kuu ni kuwa upande wetu (ikweta), tuna takriban masaa 12 ya mwanga na 12 ya giza, bila kubadilika, kwa mwaka mzima. Hivyo kutumia kigezo cha mwanga, inatabirika kirahisi zaidi, siku huanza jua likichomoza (saa moja asubuhi) na huisha likizama (saa 12 jioni).
Wenzetu muda wa jua kuchwa na kucha hubadilika kutokana na majira. Wakati wa summer muda wa jua huwa mrefu (Kuna nchi jua huwaka hadi masaa 20 kwa siku) na giza huwa fupi sana, vivyo hivyo wakati wa winter tofauti yake hutokea. Kwa mantiki hiyo, kutumia mwanga na giza kuhesabu siku sehemu hizo, inakuwa haina mantiki.
Hata uku usukuman siku inaanza saa 0000 na sio saa0700Sijui kama ilishawahi kujadiliwa humu lakini nimekuwa najiuliza sana na kukosa majibu, kwanini mfumo wa masaa wa Afrika Mashariki upo tofauti na sehemu zingine duniani? Sehemu zote siku inaanza saa 6 (0000) usiku lakini kwetu inaanza saa 1 (0700) asubuhi. Kuna sababu ya hii tofauti mahali?
Na tulipatia wapi huu mfumo na kwa nini? Tujiulize wanabodi na tunafaidika nini au tunapata hasara gani kwa hii? Karibuni kwa tafakuri.