pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Tatizo laweza kuwa la nani, au ndio TTCL haoPole .Kama mtandao uko vibaya sio kosa la NHIF. Kuwa mvumilivu kwani rekodi zako lazima ziingie humo, ndizo changamoto za teknolojia.
Wenye bima ndio tunaopata tabuSijui lini tutapata bima ya afya bure kama walivyotuamisha kwenye uchaguzi, maana sasa hivi hiyo kadi kwa mwaka ni balaa. Bora wewe unayo kadi vumilia hapo notiweki itarudi tu.
Ni lini walisema wanatoa bima za afya bure.Sijui lini tutapata bima ya afya bure kama walivyotuamisha kwenye uchaguzi, maana sasa hivi hiyo kadi kwa mwaka ni balaa. Bora wewe unayo kadi vumilia hapo notiweki itarudi tu.
Ni lini walisema wanatoa bima za afya bure.
Ninachojua hata wazee na watoto ambao sera ilitaka wapewe matibabu bure sasa hivi wanahamasishqa kukata bima za iCHF ambazo ni Tsh 30,000 kqa mwaka.
AiseKila tunaambiwa mtandao uko chini muwe na subira. Wagonjwa wamekaa kwenye foleni tangu saa mbili asubuhi.
Haya mambo ya mitandao mngeachana nayo tu naona hamkuwa tayari.
Kuanzia mapokezi, kwa daktari, pharmacy ni tabu tupu
Ni kosa lao NHIF walitakiwa wawe na mfumo usiotegemea mtandao, ukiugua mikoani ambako mtandao uko kwenye nguzo ya umeme mkubwa utafanyaje!Pole .Kama mtandao uko vibaya sio kosa la NHIF. Kuwa mvumilivu kwani rekodi zako lazima ziingie humo, ndizo changamoto za teknolojia.
Kila mwananchi akiwa na bima itakua balaa.Wenye bima ndio tunaopata tabu
Tofauti ya hizo bima za ICHF na NHIF Ni Nini Chief?Ni lini walisema wanatoa bima za afya bure.
Ninachojua hata wazee na watoto ambao sera ilitaka wapewe matibabu bure sasa hivi wanahamasishqa kukata bima za iCHF ambazo ni Tsh 30,000 kqa mwaka.
iCHF ni bima za kijamii. Wanapata watu wasio kwenye mfumo rasmi. Hii mara nyingu zamani utapata matibabu ndani ya mkoa uliokatiwa tu ila sasa ni nchi nzima Tanzania bara.Tofauti ya hizo bima za ICHF na NHIF Ni Nini Chief?
Hiyo ni Bima ya Afya kwa wote. Siyo BURE.MAJALIWA: BIMA YA AFYA KWA WATANZANIA WOTE INAKUJA
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halma...issamichuzi.blogspot.com
hospitali gani hiyoKila tunaambiwa mtandao uko chini muwe na subira. Wagonjwa wamekaa kwenye foleni tangu saa mbili asubuhi.
Haya mambo ya mitandao mngeachana nayo tu naona hamkuwa tayari.
Kuanzia mapokezi, kwa daktari, pharmacy ni tabu tupu
Mkuu hii bima hata wazee wanakubaliwa?iCHF ni bima za kijamii. Wanapata watu wasio kwenye mfumo rasmi. Hii mara nyingu utapata matibabu ndani ya mkoa uliokatiwa tu.
Na NHIF ni kwaajili ya watu walio kwenye mfumo rasmi.
Hio bima ya 30,000 ubaya ni kwamba haitafanya lolote zaidi ya kutibu malariaNi lini walisema wanatoa bima za afya bure.
Ninachojua hata wazee na watoto ambao sera ilitaka wapewe matibabu bure sasa hivi wanahamasishqa kukata bima za iCHF ambazo ni Tsh 30,000 kqa mwaka.
Wazee wanapewa kama kawaida.Mkuu hii bima hata wazee wanakubaliwa?
Na je wanapata vipimo vyote na madawa?au iko selective?
Soma zaidi hapa CHF Iliyoboreshwa - HomeMkuu hii bima hata wazee wanakubaliwa?
Na je wanapata vipimo vyote na madawa?au iko selective?