Mfumo wa NHIF kila wakati tunaambiwa uko chini, Wagonjwa wamekaa kwenye foleni

Mkuu hii bima hata wazee wanakubaliwa?
Na je wanapata vipimo vyote na madawa?au iko selective?
In short atapata huduma zote za Afya kwenye vituo vya serikali Tanzania bara isipokuwa👇👇👇👇

Huduma na Faida za CHF Iliyoboreshwa​

Mwanachama wa CHF atapata huduma zote za matibabu kwa kufuata utaratibu wa rufaa kwa ngazi zote za vituo vya kutolea huduma vya serikali.

Huduma ngazi ya Zahanati
  • * Ushauri wa daktari
  • * Vipimo vya maabara
  • * Vipimo vya picha ( X-ray na ultra sound)
  • * Dawa
  • * Uangalizi (Mapumziko)
Huduma ngazi ya Kituo cha Afya

  • * Kulazwa
  • * Upasuaji ( wa Kawaida na Mdogo)
Huduma ngazi ya Hospitali ya Wilaya

  • * Upasuaji ( wa Kawaida, Mdogo na Mkubwa)
Huduma ngazi ya Hospitali ya Mkoa

  • * Huduma za rufaa zilizopo ngazi ya mkoa
Huduma zisizogharamiwa na CHF
  • * Huduma za kufunga viungo bandia, vya mwili, miwani, visaidizi vya sikio,visaidizi vya moyo
  • * Vipimo vya MRI,CT scan, DNA typing
  • * Operesheni kubwa kama za moyo, ubongo,figo n.k
  • * Huduma za kuhudumia mwili wa marehemu
  • * Huduma za kurekebisha mwili (cosmetic surgery)
  • * Majeraha yanayotokana na nia ya mtu kujidhuru kama matumizi ya vilevi, utoaji mimba au kujaribu kujiua.
  • * Matibabu kwa wajeruhi walioshiriki maasi kama vurugu,maandamano n.k
  • * Kulaza kwenye ward za binafsi (private wards)
 
L
Hio bima ya 30,000 ubaya ni kwamba haitafanya lolote zaidi ya kutibu malaria

Huduma za ghali ndio zilitakiwa zibebwe na bima sio hizo huduma za elfu 20/20
 
Nakumbuka enzi hizo nafuatilia kitambulisho Cha taifa siku hiyo nikavunja ratiba yangu yote ili nimalizane tu na Nida kufika ofisi za Nida umeme umekatika imagine nikawauliza hakuna generator wakasema hakuna nilishangaa halafu ni ofisi zipo jijini kabisa yaani nikawa nimepoteza siku nzima bure kabisa, kwa ofisi za serikali kero Kama hizo ni kawaida Sana na customer care mbovu
 
Kila tunaambiwa mtandao uko chini tuwe na subira. Wagonjwa wamekaa kwenye foleni tangu saa mbili asubuhi.

Haya mambo ya mitandao mngeachana nayo tu naona hamkuwa tayari.

Kuanzia mapokezi, kwa daktari, pharmacy ni tabu tupu.
Hospitali gani hiyo mzee, mimi nahisi ni hospitali /zahanati ulioenda
 
Sijui lini tutapata bima ya afya bure kama walivyotuamisha kwenye uchaguzi, maana sasa hivi hiyo kadi kwa mwaka ni balaa. Bora wewe unayo kadi vumilia hapo notiweki itarudi tu.
Ni lazima udanganywe ili mambo mengine yaende
 
Changamoto sana huu mfumo, baadhi ya madawa unaambiwa ukanunue kwasababu bima ya afya haihusiki daaaah!
Hii ndiyo big challenge tunayo, dawa nyingi unakuta haziingii kwenye malipo ya bima, ila pia nashangaa kuna zahanati /hospitali wanatoa dawa zote bila kuchuja za cash na za bima huwa kigezo kinakua ni nini kwa
 
Changamoto nyingine ni kwa mama wazazi akishajifungua tu dawa/huduma zinazomhusu mtoto unaambiwa hana bima lipia/kanunue
 
Usipotoshe hata hiyo bima haikatiwi bure ni pesa mzee, inasaidia kwa kiasi chake
Kumwona daktari for consultation nakubali jiulize nyonga kutibu milioni 14 Hadi 6 au zaidi lakini bima inakava milioni 8 tu ,ombea uendeleage kuugua mafua typhod nk Ila sio Mambo muhimu katika mwili
 
Sasa ukitaka first class mzee si unakatiwa, ukubwa watatizo nenda baadhi ya kampuni zinazotoa bima kubwa lakini ujiandae kulipa hela nyingi kwa mwaka then ikitokea unaumwa nyonga itaku cover, hatuwezi fanana vipato na ndiyo maana kila mtu anajigusa anapoweza, wewe ilipie laki kwa mwaka uje utake bima ukikave kwenye nyonga wao pia wanajiendesha kwa faoda kulipia cost of operation,
 
Back
Top Bottom