pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
- Thread starter
- #41
Iringa hiyo bila shaka unaifahamu kuwa ina matatizo ya mtandaoIringa au mbeya funguka wapo humu ma IT wao sijui wanapatikanaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iringa hiyo bila shaka unaifahamu kuwa ina matatizo ya mtandaoIringa au mbeya funguka wapo humu ma IT wao sijui wanapatikanaje
Upo uwezekano ukampatia mteja huduma ukaokoa muda then baada ya masaa ya kazi unaendelea huko kwenye mfumo wakati network itakua imetengemaaPole .Kama mtandao uko vibaya sio kosa la NHIF. Kuwa mvumilivu kwani rekodi zako lazima ziingie humo, ndizo changamoto za teknolojia.
Wengi wanafanya hivyo hata Mie nimetibiwa wiki iliyopita sijaiona bado bill yangu lakini itaingia Tu kwani nilisaini Yale makaratasi ya manual. Inabidi wajiongeze.Upo uwezekano ukampatia mteja huduma ukaokoa muda then baada ya masaa ya kazi unaendelea huko kwenye mfumo wakati network itakua imetengemaa
Wakikujibu nistueHebu tuelekezane kuhusu hizi bima za afya hasa aina (classes) ngapi na utaratibu wa kujiunga upoje hasa kwasisi wagonga ulimbo
Kwakweli NHIF wanakurupuka sana. Hawajajipanga.Kila tunaambiwa mtandao uko chini tuwe na subira. Wagonjwa wamekaa kwenye foleni tangu saa mbili asubuhi.
Haya mambo ya mitandao mngeachana nayo tu naona hamkuwa tayari.
Kuanzia mapokezi, kwa daktari, pharmacy ni tabu tupu.
😅😅Hio bima ya 30,000 ubaya ni kwamba haitafanya lolote zaidi ya kutibu malaria
Usipotoshe hata hiyo bima haikatiwi bure ni pesa mzee, inasaidia kwa kiasi chake
Kumwona daktari for consultation nakubali jiulize nyonga kutibu milioni 14 Hadi 6 au zaidi lakini bima inakava milioni 8 tu ,ombea uendeleage kuugua mafua typhod nk Ila sio Mambo muhimu katika mwili
Inasaidia tena sana m imenisaidia 99%
Watu ni wasomi lakini kichwan watupu sana, na hata hizo elimu zao haziwasaidi, imagen mtu anakuambia bima ni ya nini!?? Nimeshangaa sana watu hawajui risk pia sio muda wote unaweza kuwa na hela ukiiumwa ghafla unapata usaidizi wa haraka sana pitia bima, inapunguza makali na ugumu wa maisha,
Hapo ndo huwa nashindwa kuelewa maana hasa ya bima, kama haiwezi kucover baadhi ya huduma/dawa unakuwa ni upumbavu. Bima inabidi ikusaidie kwenye case kama hizo, na zinaweza kukuta ukiwa huna kitu kabisa mfukoni.Changamoto sana huu mfumo, baadhi ya madawa unaambiwa ukanunue kwasababu bima ya afya haihusiki daaaah!
Mimi ujauzito wangu wote mara mbili zote ni bima tu vitu vya kununua ni kidogo sana na naenda hosp kubwa tu kuanzia huduma za clinic hadi kujifungua mara mbili zote ni bima
Kweli kichwani watupu kama huyo aliyosema anaumwa ugonjwa wa ml14/6 then wanatoa 8m na ukute hapo alichangia laki 3 Au 5 tu sasa hadi hapo hajaona umuhimu wake? Kiukweli bima inasaidia sana hata kama sio 80% lakini ina msaada sana haswa kwa wajawazito sana sanaaaa
ICHF zinapokelewa hospital zipi? Au ni kwenye zahanati tu?iCHF ni bima za kijamii. Wanapata watu wasio kwenye mfumo rasmi. Hii mara nyingu zamani utapata matibabu ndani ya mkoa uliokatiwa tu ila sasa ni nchi nzima Tanzania bara.
Na NHIF ni kwaajili ya watu walio kwenye mfumo rasmi.
Wanavyosema wao ni hospitali zote za serikali Tanzania bara.ICHF zinapokelewa hospital zipi? Au ni kwenye zahanati tu?
Mifumo ya network ya Serikali siku zote ina shida,imetengenezwa kimaskini kwa kutumia mitambo duni,saver hapo huwa zinazidiwa,fikiria kila hospitari nchi nzima inapojaribu kuingia mtandaoni Kwa kutumia hata computa moja tu!!hapo lazima system ichizi,hicho kitu kipo hivyo kwenye taasisi zote,TRA,NIDA nk.Kila tunaambiwa mtandao uko chini tuwe na subira. Wagonjwa wamekaa kwenye foleni tangu saa mbili asubuhi.
Haya mambo ya mitandao mngeachana nayo tu naona hamkuwa tayari.
Kuanzia mapokezi, kwa daktari, pharmacy ni tabu tupu.
Watu wengi humu wapo kisiasa tu tena wao mambo mengi wapo kwa ajili ya kuponda/kukosoa wao hata ukileta jambo la kuelimisha umma na lenye faida wao watalipinga na kutaka kuwaonyesha wafuasi wao kuwa halifaiWatu ni wasomi lakini kichwan watupu sana, na hata hizo elimu zao haziwasaidi, imagen mtu anakuambia bima ni ya nini!?? Nimeshangaa sana watu hawajui risk pia sio muda wote unaweza kuwa na hela ukiiumwa ghafla unapata usaidizi wa haraka sana pitia bima, inapunguza makali na ugumu wa maisha,
Shida sana mtu hata kwenye hoja za mashiko anazijeuza kuwa siasa na kukejeli kitu asichojua, hebu fikiria mkuu unakata bima yako lakini itakayotibu na familia yako yote na extended family pia kwa maana wazazi yani unakata wewe ila unapewa na nafasi za wategemezi wako mkuu sasa bima iweje haina faida hapo ndugu yangu, kuna dada hapo kafafanua zaidi pia Pisi kali namna ilivyomsaidia yani watu wataamini mpaka watokee mashuhuda ndiyo ataanza kusema oh kumbe, sasa unakuata mtu na bachelor yake mkononi anakandia huduma za bima, tulisola mambo ya risk management hakuna mwanachuo asiejua mambo ya risk lakini hayawasaidii wati kwenye real lifeWatu wengi humu wapo kisiasa tu tena wao mambo mengi wapo kwa ajili ya kuponda/kukosoa wao hata ukileta jambo la kuelimisha umma na lenye faida wao watalipinga na kutaka kuwaonyesha wafuasi wao kuwa halifai
Kuhusu bima kwa kweli ndugu zangu tukate na ina faida sana tena sana mimi Mzee wangu alikuwa anaumwa na alikuwa na bima tulianzia Zahanati mpaka M ny'amala huko kote alitibiwa bure isipouwa alipofika Muhimbili ndio tukaambiwa bima yake huko aitumiki
Mpaka sasa akipata maradhi hospital zote wanamhudumia vizuri tu kwa bima alionayo isipokuwa Muhimbili tu
Exactly!Hapo ndo huwa nashindwa kuelewa maana hasa ya bima, kama haiwezi kucover baadhi ya huduma/dawa unakuwa ni upumbavu. Bima inabidi ikusaidie kwenye case kama hizo, na zinaweza kukuta ukiwa huna kitu kabisa mfukoni.